SEX: A taboo for wana Jamii Forums? Just thinking out loud!!



Sante mamito nimekupata.
 
@rr whaaaaaaat?


Smile acha kunipeperushia ndege. wewe si bikira? au kakako huyo?

Hio whaaaaaaat inaruhusiwa kutoa tu pale dada husika sio bikira. RR come this way papie.
 
Last edited by a moderator:
Halafu uzoefu unaonyesha debe tupu haliachi kupiga kelele kama upepo wa nguvu utapita.
 
Hii mada sijaielewa...labda ungesema Smirnoff leo vip kingeeleweka


Au akiongea mwengine ndio utaelewa? as in lolote niongealo mimi hulielewi?

najaribu kuacha ujumbe kule ila naona umefuta access. mambo gani hayo sasa Ndhahani my kirusha roho?
 
Halafu uzoefu unaonyesha debe tupu haliachi kupiga kelele kama upepo wa nguvu utapita.


Kirusha roho cha Erotica mbona wamrusha roho Ero hivo? kwa hiyo yeye ni debe tupu?
 
lemonade una vituko wewe! teh teh teh. Hivi mtu unapojiangalia

tupu kwenye kioo ili iweje? teh teh the. toa jibu mamito ili wasiojiangalia watambue kuna umuhimu.

teh teh teh kuchunguza vitendea kazi, unaweza ukajiadmire mwenye nakujua wapi unamiss.....
 
Last edited by a moderator:
hapa wengi huwa ni watakatifu, ila tunapokutana nao mtaani ni vuluvuluuuuuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…