Sex before marriage is a SIN.

Sex before marriage is a SIN.

watu wameshaonja mbingu kabla ya kufa...so tukifa ni motoni tu direct...big joke!
 
Kwa hiyo marriage ni ticket ya sex?that means ukioa au kuolewa ruksa kusex na m2 yoyote hata kama co mke/mume wako?hii misemo mingine haijakaa poa
 
Hahahahaha
Nilikua na wakumbusha tu kwa sababu watu wengi sana hasa vijana wa sasa wamesahau kuhusiana ba hilo swala!

Jihazarini!

hoja nzito tatizo ni kuwa ...........sikio la kufa halisikii dawa................
 
Thank you and I hope you too you practise what you preach
 
Hahahahaha
Nilikua na wakumbusha tu kwa sababu watu wengi sana hasa vijana wa sasa wamesahau kuhusiana ba hilo swala!

Jihazarini!

vipi kale katoto kako bado unakasubiria kamalize six au?
 
watu wameshaonja mbingu kabla ya kufa...so tukifa ni motoni tu direct...big joke!

Dunia au ki2 chochote cha dunian hakifanan na cha mbinguni!! Hata kidogo.
 
Kwa hiyo marriage ni ticket ya sex?that means ukioa au kuolewa ruksa kusex na m2 yoyote hata kama co mke/mume wako?hii misemo mingine haijakaa poa

Sikumahanisha hivyo kua marriage z a ticket 4sex nimemaanisha sex ifanwe na wa2 waliopo katika marriage!!only
 
Hahahahaha
Nilikua na wakumbusha tu kwa sababu watu wengi sana hasa vijana wa sasa wamesahau kuhusiana ba hilo swala!

Jihazarini!

Wewe Kapax wewe, hapa tuu unang'ang'ania kukabusu katoko ka shule tena kanasoma PCB https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/242833-kiss-mpaka-amalize-form-six.html. Sidhani kama unaamanisha unachokisema. But one thing I believe for is that a man should be a man of his own words! IF you are doing what u are trying to advice us good, and may the Lord help u. Na uache kung'ang'ania kuvipiga busu vitoto vya shule. . .
 
Hahaha kwel hapa z the hom 4great thnkrs haha
Kwan kiss ni sex nazan hapana and mlinishauri kua ni heahim maamuz yake ndo niko nafuata ushauri wenu hivyo!!
 
Kiss sio sex its part of it, ila nadhani wajua mti hudondokea kule ulipoegemea. . Kama ukianza

kung'ang'ania kiss na mtoto wa sekondari leo, unataka kuniambia utamsubiri mpaka amalize chuo au

ndo utakavuta ndani kakimaliza form 6? Na ujue sex is not an accident. Its a preparation kiss being one

of it. Safari moja huanzisha nyingine
 
So wat ar u sujstng?
 
Ushauri murua lakini kama unavyoona michango ndiyo hali halisi ilivyo. Ujumbe tumeupokea kwa mikono miwili ni utekelezaji.
 
Back
Top Bottom