Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha
Nilikua na wakumbusha tu kwa sababu watu wengi sana hasa vijana wa sasa wamesahau kuhusiana ba hilo swala!
Jihazarini!
Hahahahaha
Nilikua na wakumbusha tu kwa sababu watu wengi sana hasa vijana wa sasa wamesahau kuhusiana ba hilo swala!
Jihazarini!
Kwa hiyo marriage ni ticket ya sex?that means ukioa au kuolewa ruksa kusex na m2 yoyote hata kama co mke/mume wako?hii misemo mingine haijakaa poa
Hahahahaha
Nilikua na wakumbusha tu kwa sababu watu wengi sana hasa vijana wa sasa wamesahau kuhusiana ba hilo swala!
Jihazarini!
Wewe Kapax wewe, hapa tuu unang'ang'ania kukabusu katoko ka shule tena kanasoma PCB https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/242833-kiss-mpaka-amalize-form-six.html. Sidhani kama unaamanisha unachokisema. But one thing I believe for is that a man should be a man of his own words! IF you are doing what u are trying to advice us good, and may the Lord help u. Na uache kung'ang'ania kuvipiga busu vitoto vya shule. . .
Hahaha kwel hapa z the hom 4great thnkrs haha
Kwan kiss ni sex nazan hapana and mlinishauri kua ni heahim maamuz yake ndo niko nafuata ushauri wenu hivyo!!
Kiss sio sex its part of it, ila nadhani wajua mti hudondokea kule ulipoegemea. . Kama ukianza
kung'ang'ania kiss na mtoto wa sekondari leo, unataka kuniambia utamsubiri mpaka amalize chuo au
ndo utakavuta ndani kakimaliza form 6? Na ujue sex is not an accident. Its a preparation kiss being one
of it. Safari moja huanzisha nyingine