Sex before marriage is a SIN.

Sex before marriage is a SIN.

Ushauri murua lakini kama unavyoona michango ndiyo hali halisi ilivyo. Ujumbe tumeupokea kwa mikono miwili ni utekelezaji.

Ur wlm hapa kilichobaki vitendo we shuld learn 2contrl our filngs!
 
Eeeeeh! Ni kweli dhambi ila kautamu nako ...... MUNGU anisamehe mkosaji mimi.
 
Eeeeeh! Ni kweli dhambi ila kautamu nako ...... MUNGU anisamehe mkosaji mimi.

Gako kautam kanaweza kusubiri paka mda wake muafaka kufika I blv we cn control it cha msingi ni kuomba msamaha na kutubu nakutokurudia dhambi hiyo na zingine zote 2lizotenda!
 
heri umewakumbusha maana pasaka hii +mvua mmmmh
.
Tena pasaka ni mda wa kujisafisha ma dhambi yote na kutokuyarudia tena kwa sababu kuacha dhambi pasaka thn aftr pasaka unaendelea ni sawa na bure we shuld change 4good!
 
Hahaha mwali endelea hivyo hivyo kama ni kwel!!
Na utabarikiwa!
Kwa nini isiwe kweli? Mi najichunga sana, uliza watakwambia.
Shahidi wangu wa kwanza Shangazi yangu AshaDii.
 
Kwa nini isiwe kweli? Mi najichunga sana, uliza watakwambia.
Shahidi wangu wa kwanza Shangazi yangu AshaDii.

Mmmmh tena kama shahidi ashaDii
Haina aja ya kuuliza!
Hahaha
 
Mmmmh tena kama shahidi ashaDii
Haina aja ya kuuliza!
Hahaha
Huyo ni wakwanza tu, mashahidi ni wengi mno!
Ku-do ni dhambi, ila affection sio dhambi.
Na kuna namna ya kudisplay affection physically,
Kama walivokua wanafanya mfalme Daudi na yule Sulamite.
Unaijua hii story? Ni mfano mzuri sana wa kuiga.
(Daudi is the wisest human being, dixit the Bible)
 
Haya mwali umeshinda bt kuna trap nyingi sna so be carful becse hzo affctn znaweza lead 2!! Nanii!
 
Back
Top Bottom