Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeeh! Ni kweli dhambi ila kautamu nako ...... MUNGU anisamehe mkosaji mimi.
uzuri wake ukitubu,unasamehewa.....mungu wetu ni wa rehema..
Kwa nini isiwe kweli? Mi najichunga sana, uliza watakwambia.Hahaha mwali endelea hivyo hivyo kama ni kwel!!
Na utabarikiwa!
Huyo ni wakwanza tu, mashahidi ni wengi mno!Mmmmh tena kama shahidi ashaDii
Haina aja ya kuuliza!
Hahaha
Huyo ni wakwanza tu, mashahidi ni wengi mno!
Ku-do ni dhambi, ila affection sio dhambi.
Na kuna namna ya kudisplay affection physically,
Kama walivokua wanafanya mfalme Daudi na yule Sulamite.
Unaijua hii story? Ni mfano mzuri sana wa kuiga.
(Daudi is the wisest human being, dixit the Bible)