Sex bila kutongozana

Sex bila kutongozana

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,102
Suala la kukutana kimwili ni suala linaloamriwa na hisia za watu wawili kati ya mwanamke na mwanaume. Kikawaida kuna ule utaratibu wa kutongozana na kukubaliana kisha sex.

Lakini kuna zile sex bila mambo mengi, yaani first site watu wanabanjuka.

Imewahi kutokea ukajikuta umesex na mtu (me/ke) bila kutongozana? [emoji16]
 
Mindset yangu haipendi kula vitu ambavyo sijavihangaikia nakosa amani
Hahahah kuna tatizo kama katika maisha yako hujawahi angukiwa na KE. Personaly napenda zaidi mwanamke anaenianza kuliko niliemuanza mimi. Imetokea mara kadhaa na wapo niliowapenda nikakamilisha ratiba na wengine nikawaacha.

Kusubiria sana chakula huwa kunapoteza hata ule uchu wa kula!
 
Back
Top Bottom