Sex bila kutongozana

Sex bila kutongozana

Hahahah kuna tatizo kama katika maisha yako hujawahi angukiwa na KE. Personaly napenda zaidi mwanamke anaenianza kuliko niliemuanza mimi. Imetokea mara kadhaa na wapo niliowapenda nikakamilisha ratiba na wengine nikawaacha.

Kusubiria sana chakula huwa kunapoteza hata iule uchu wa kula!
Sijawahi kwa kweli labda ishara tu ila sio kuchanwa makavu live
 
Sijawahi kwa kweli labda ishara tu ila sio kuchanwa makavu live
Ndio ishara zenyewe mkuu huwezi ambiwa unapendwa but "GREENLIGHT" kama huamini wanawake wanajua kuhonga nao basi utakuja kuamini siku moja. Mapenzi hayana baunsa, Huku wengine wakilia mizinga imezidi, we unaweza kuwa special case ukila nchi bila kutumia force!
 
Binafsi sijawahi tongoza huwa nauchuna hadi wanajigonga wenyewe alafu namtamkia tuu vipi hapo kati pa tamu panaingilika?ukishasikia anasema utaweza?hapo hapo mi nashikilia kwenye ule mbishano hadi mwisho tunajikuta tushavunja ile amri kama utani vile
 
Back
Top Bottom