Abee...umesema?Inaelekea kutokea soon.
Ndio ujiandae tu kwahio kazi mamaAbee...umesema?
Kusumbuana tu. Mwishowe ndio kudanganyanaKutongoza kuna raha yake; huongeza kujiamini
Unamaanisha na mimi?Ndio ujiandae tu kwahio kazi mama
Yeah you baebzUnamaanisha na mimi?
Matokeo loading....Inaelekea kutokea soon.
Sasa mbona mimi tulitongozana na tukakubaliana kuoana mwaka huu inakuwaje tena hii anayosema mtoa madaYeah you baebz
Mindset yangu haipendi kula vitu ambavyo sijavihangaikia nakosa amaniKusumbuana tu. Mwishowe ndio kudanganyana
Si tuna re-shuffleSasa mbona mimi tulitongozana na tukakubaliana kuoana mwaka huu inakuwaje tena hii anayosema mtoa mada
Eeh hicho kizungu sijaelewaSi tuna re-shuffle
Hahahah kuna tatizo kama katika maisha yako hujawahi angukiwa na KE. Personaly napenda zaidi mwanamke anaenianza kuliko niliemuanza mimi. Imetokea mara kadhaa na wapo niliowapenda nikakamilisha ratiba na wengine nikawaacha.Mindset yangu haipendi kula vitu ambavyo sijavihangaikia nakosa amani
Umewahi?first sight mzee baba.
Kufanyaje...first site ?Umewahi?
Re-arrangement, Re-organizing, Re-structuring!Si tuna re-shuffle