SEX got me in Trouble.. Please HELP!

Erotica hata usipate tabu shostito subiri akishazaliwa unawatembelea hao wa5 na unaangalia ulalaji wao kitandani na dogo basi..en u wil no hu iz ze faza
 
ahsakum si matusi.............. utakua na mbunye inayonuka, pole kwa ntoto
 

Na tutendelea hivi Erotica kuna jambo limeni cross kichwani hivi harusi yetu itakuwaje endapo itahudhuriwa na members wote wa MMU? Bonge la historia itakuwa hapa Bongo! Kaunga mie ni wa kuingia na si kutoka so acha niendelee kukiss as she said. I love the stage! Nampenda Ero sana e bit niko serious hapa!
 
Last edited by a moderator:


Nilikuwa sijui kuwa kufanya mapenzi ni sawa na mtu asikiaye njaa mara tatu kwa siku na kwenda kula katika hoteli yoyote ile
 
Pole kwa kugawa sana.

Nakushauri utulie chini utakumbuka vizuri na utapata jibu la baba wa mtoto.

Nakusifu kwa kuwa muwazi kwa wana jf maana ni wsichana wachache wanaoweza kukubali kuwa wana mahusiano na wanaume zaidi ya watatu.
 


Kiranga mie naona nizae hawa watoto wawe adopted nije huko kwenye ubudha.

with you close to me, haki tena nakuambia i will behave na hata kuwa rev. Erotica.

licha ya kunijali, dont you love me hata kidogo? please say yes b4 i give birth. mwaaaah.
 
Last edited by a moderator:

Paxman me love you too. mbona hio ni wazi kabisa? mwaaaaaaaah.

mwaaaaaaah to ur cute face. mwaaaaaaah to ur kisses. mwaaaaaaaah to our love.
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa sijui kuwa kufanya mapenzi ni sawa na mtu asikiaye njaa mara tatu kwa siku na kwenda kula katika hoteli yoyote ile



teh teh teh. ndio umejua sasa LUTU.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…