SEX got me in Trouble.. Please HELP!

SEX got me in Trouble.. Please HELP!

I love a charming temptress, even as I recognize her decadent lewdness and ubiquitous un-ashamedness, and steer clear like a seasoned sage or a geeky griot.


kaaaaah! be a darlin and melt hicho kiingereza Kiranga. sijaambulia kitu papito.

btw you have seen through the crystal ball to think it somesot of story tellin? :A S confused: teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
mchungaji Kaizer hebu tumia dikshenare fasta. unaweza kuta ndio

ana declare yupo tayari kuwa baba alafu sijaelewa. pliiiizi.

Ingekua ivo Erotica, asingeandika ivo..in fact nakushauri usisome maneno yote baada ya "even",,,
 
Last edited by a moderator:
Mbaya sana na tamu sana kwa kuwaridhisha watano na pengine kila mtoto mmoja na baba yake. Wanaweza wakazaliwa mmoja mzungu na mwingine mchina. Hongera sana.
 
Siku zimekuwa zikienda najihisi tofauti tofauti, naona mwili wangu kama haupo kawaida.
Nikishika tits zangu I feel tender, najiona nimebadilika badilika tu but nashindwa kuelezea.
Saizi nakula zaidi kuliko kawaida yangu na najikuta nataka utulivu wa mara kwa mara.
Ndio nimetambua saizi nina mimba. Hio inafanya niwe nina habari mbili mbaya na nzuri.

Mbaya ni kuwa nina mimba ya mtu ambae sijui atakuwa yupi! Najiuliza baba watoto ni nani kati
ya wa 5 niliokutana nao katika zile siku za kutikisha mimba ule mwezi wa mwisho ambao niliacha sex rasmi.
Sina raha, sina amani sabb nataka mtoto ajue baba yake wa kweli ni yupi.
sina la kufanya ila mimba sitoi! Wangekuwa wote ni waswahili ningejipanga vizuri.
Tatizo katika hao wa 5 moja mchina, mwingine mzungu watatu waswahili. Wote nilitumia condom,
kasoro mmoja, nimesahau ni yupi.

Habari nzuri I am pregnant with twins nilikuwa nawatafuta kwa nguvu zote.
Bonus ni kuwa najisikia kufanya kila mara. Naomba mnisaidie ushauri pliiiiiz!

No mwaaaaah! nahisi kuzimia! :faint2:

shoga kwanza hongera, na pia wala usilalamike unajua watu wanakesha kwa waganga kutafuta watoto? sasa wewe umewapata wala usilalamike sana.
kuhusu baba we angalia yule ambaye anajifanya yupo karibu na wewe kwa kipindi hiki mtumie kulea mimba na pia atakuwa anakupa faraja na kukupety pety kwa kipindi hiki na kupunguza stress pia, so atleast kwa kipindi hiki cha miezi tisa kutakuwa na mtu wa kukusaidia kulea mimba hiyo sawa eeh? make sure hutoki nje ya hao wa tano na kama wote wamekwisha kula kona atakaye kuwa interested na wewe kwa kipindi hiki usimkatalie ila tu make sure amepima na unajua hali yake ya vvu sawa eeh?
kuhusu hamu ya kufanya mapenzi sana wala usiogope, maana mwanamke anapo pata ujauzito kuna mambo mawili yanatokea eidha hamu ya kyfanyana itoweke moja kwa moja mpaka anapojifungua ama hamu inaongezeka na kila mara anakuwa na hamu ya kufanyana so kwako wewe inaonekana kuwa hamu yako ipo juu ya kufanyana, fanyana mwaya wala usiogope maana ni haki yako ila tu cha msingi kuwa makini na style utakazo kuwa unatumia ili zisikuumize wewe maana katumbo kanakuwa hako so the best style kwako inaweza kuwa ni ile ya kulala ubavu, kifo cha mende sio nzuri maana mwanaume atakuumizia tumbo na pia unaweza ukafanya mbuzi kagoma sawa eeh?
 
Ingekua ivo Erotica, asingeandika ivo..in fact nakushauri usisome maneno yote baada ya "even",,,



bada ya neno lile la even nikaona maneno yenye viruti

kama decay, shame, geek, mengine nimetoka hola! nikaona :nono::nono::nono:

then nikakumbuka huyu Kiranga anasomea ubudha. hasemi maneno bure wala

si kwa yoyote. sbb kagusia hata kama sielewi am feel erotic n hav a rite. think Kaizer think!

it minz atakuwa na kasehem ka physikia hata kama roho kanajali uwepo wa Ero
 
Last edited by a moderator:
bada ya neno lile la even nikaona maneno yenye viruti

kama decay, shame, geek, mengine nimetoka hola! nikaona :nono::nono::nono:

then nikakumbuka huyu Kiranga anasomea ubudha. hasemi maneno bure wala

si kwa yoyote. sbb kagusia hata kama sielewi am feel erotic n hav a rite. think Kaizer think!

it minz atakuwa na kasehem ka physikia hata kama roho kanajali uwepo wa Ero

Umezibuka,

Kiranga anajali wote, hata wasiokuwapo mstarini wenye character za Mumma mongrel Jezebel na chembe za mwenye pembe mwenyewe.

Hata Yesu alisema wapendeni hata mnaopingana nao.

Naamini Erotica akipata msaada wa maombi ya wapendwa atajirudi na anaweza kuwa mke mzuri, hata akawa mama mchungaji kusaidia kuongoza kundi 🙂

Au hata awe mchungaji mwenyewe.

Imagine that, rev. Erotica, itabidi tumtafutie jina jingine.
 
Kati ya hao watatu hakuna mmoja kati ya hawa,Bishanga, ErickB52,Baba V,Boflo na Saint Ivuga?,nijibu then ntakushauri

Pombekali mi huyu ni wangu na anajua huwa situmii hayo magozi ila nilikuwa safari..nahisi hao wengine ndo wahusika
 
Last edited by a moderator:
mmmhh.. Kaunga.....apa nimevunjikaje mbavu? gfsonwin tunachoshana sana tu, mwenyewe si mnamsikia hapa anawaatarifu mfyonzo? EE Mungu nisaidie!

Ila haina maana kuwa maungamo yamesitishwa ila mnamsingizia Elizabeth Dominic
Erotica, hongera kwa MImba....Mungu anakuona na amekutembelea kama alivomtembelea Sara. sasa basi come this way upatemo maujuzi ya wakati wa mimba from gfsonwin, Kaunga atakupa maujuzi ya kitabibu namna ya kuitunza akisaidiana na MziziMkavu

Usimkaribie Asprin kama ambavyo hutakiwi kumwona Erickb52

Uwe mpole kama CUTE ili ukijifungua wawe macutie kama mapacha wa cacico.

Hehehe Kaizer tutake radhi
Kwanza ksa huyo mtoto ni wako siuseme tu
 
Last edited by a moderator:
Erotica, gfsonwin na fidel80 post zenu nusura zinivunje mbavu ......,
Erotica my lovely mke mwenza umelikoroga so kulinywa inakuhusu.....afu hongera kwa ujauzito wa mapacha!
 
Last edited by a moderator:
jamani mwali Erotica watu watano uliwezaje ku do bila protection mmmmh..Na kale kaugonjwa umepita mama? unanitia simanzi ujue@Ndahani ana habari hizi

FirstLady1, mjini hapa akili jmu kichwa...ukienda kichwa kichwa utalea mwana si wako... Erotica huoni kama janja janja sana. Speed zake mi akhuuu...simuwezi
 
Last edited by a moderator:
Mie mzima gfsonwin khofu kwako my dearest.......huezi amini nimecheka mpaka nimeshindwa kuendelea kusoma!.... Erotica kweli kiboko g......amechanganya mpaka wachina lol

utamuweza mtu wa meru huyu? nahisi na kile cha meru huwa navuta kidogo manake leo katoa mpya. uko mitaa ya wapi ma dearest?
 
utamuweza mtu wa meru huyu? nahisi na kile cha meru huwa navuta kidogo manake leo katoa mpya. uko mitaa ya wapi ma dearest?

Kumbe Erotica ni wa meru eeh?.....basi atakuwa anatumia cha meru huyu.... gfsonwin kesho tukijaliwa unipe mda tuendelee na lile darasa letu la jana......nilijirejista but mpaka sasahivi sijaletewa majibu!.....sawa my lovely teacher?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Erotica ni wa meru eeh?.....basi atakuwa anatumia cha meru huyu.... gfsonwin kesho tukijaliwa unipe mda tuendelee na lile darasa letu la jana......nilijirejista but mpaka sasahivi sijaletewa majibu!.....sawa my lovely teacher?

shaka ondoa ma dearest shostito. but nakumiss kweli.
 
Back
Top Bottom