I love a charming temptress, even as I recognize her decadent lewdness and ubiquitous un-ashamedness, and steer clear like a seasoned sage or a geeky griot.
I love a charming temptress, even as I recognize her decadent lewdness and ubiquitous un-ashamedness, and steer clear like a seasoned sage or a geeky griot.
:lalala: i think i lyk u jst the way u ar. :lie: dare to dare Ero. mwaaaaaaaah.
Siku zimekuwa zikienda najihisi tofauti tofauti, naona mwili wangu kama haupo kawaida.
Nikishika tits zangu I feel tender, najiona nimebadilika badilika tu but nashindwa kuelezea.
Saizi nakula zaidi kuliko kawaida yangu na najikuta nataka utulivu wa mara kwa mara.
Ndio nimetambua saizi nina mimba. Hio inafanya niwe nina habari mbili mbaya na nzuri.
Mbaya ni kuwa nina mimba ya mtu ambae sijui atakuwa yupi! Najiuliza baba watoto ni nani kati
ya wa 5 niliokutana nao katika zile siku za kutikisha mimba ule mwezi wa mwisho ambao niliacha sex rasmi.
Sina raha, sina amani sabb nataka mtoto ajue baba yake wa kweli ni yupi.
sina la kufanya ila mimba sitoi! Wangekuwa wote ni waswahili ningejipanga vizuri.
Tatizo katika hao wa 5 moja mchina, mwingine mzungu watatu waswahili. Wote nilitumia condom,
kasoro mmoja, nimesahau ni yupi.
Habari nzuri I am pregnant with twins nilikuwa nawatafuta kwa nguvu zote.
Bonus ni kuwa najisikia kufanya kila mara. Naomba mnisaidie ushauri pliiiiiz!
No mwaaaaah! nahisi kuzimia! :faint2:
Ingekua ivo Erotica, asingeandika ivo..in fact nakushauri usisome maneno yote baada ya "even",,,
bada ya neno lile la even nikaona maneno yenye viruti
kama decay, shame, geek, mengine nimetoka hola! nikaona :nono::nono::nono:
then nikakumbuka huyu Kiranga anasomea ubudha. hasemi maneno bure wala
si kwa yoyote. sbb kagusia hata kama sielewi am feel erotic n hav a rite. think Kaizer think!
it minz atakuwa na kasehem ka physikia hata kama roho kanajali uwepo wa Ero
Kati ya hao watatu hakuna mmoja kati ya hawa,Bishanga, ErickB52,Baba V,Boflo na Saint Ivuga?,nijibu then ntakushauri
mmmhh.. Kaunga.....apa nimevunjikaje mbavu? gfsonwin tunachoshana sana tu, mwenyewe si mnamsikia hapa anawaatarifu mfyonzo? EE Mungu nisaidie!
Ila haina maana kuwa maungamo yamesitishwa ila mnamsingizia Elizabeth Dominic
Erotica, hongera kwa MImba....Mungu anakuona na amekutembelea kama alivomtembelea Sara. sasa basi come this way upatemo maujuzi ya wakati wa mimba from gfsonwin, Kaunga atakupa maujuzi ya kitabibu namna ya kuitunza akisaidiana na MziziMkavu
Usimkaribie Asprin kama ambavyo hutakiwi kumwona Erickb52
Uwe mpole kama CUTE ili ukijifungua wawe macutie kama mapacha wa cacico.
jamani mwali Erotica watu watano uliwezaje ku do bila protection mmmmh..Na kale kaugonjwa umepita mama? unanitia simanzi ujue@Ndahani ana habari hizi
my kungwi FirstLady1 hujanielewa, nimesema ktk hao w5 mmoja sikutumia condom
ila sikumbuki ni yupi. Ndahani bado ananirusha roho, usimwambie tafadhali.
utamuweza mtu wa meru huyu? nahisi na kile cha meru huwa navuta kidogo manake leo katoa mpya. uko mitaa ya wapi ma dearest?