Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
- Thread starter
- #61
Erotica kuna ushauri mbili hapa from my brother!
Wa kwanza sijui ni too late, lakini nafikiri unafaa ili kuwaprotect manieces wangu, kitu ya ngozi!
Wa pili ni hakikisha umepata nywele (za kichwani) za hao 5 dudes ili twins wakizaliwa ucheck Madawa na Kilevi (DNA)!
Thanks bro, ila nami nazipendaga hizo za kwenye box, nitumie basi! LOL
Darasa limekuwa kubwa na pana, Chauro anarushia, Fidel80 anagusia,
gfsonwin anakandamiza, Sikonge kani pakulia hapo makungwi wengine hawajaja.
my love Kaunga naona na wewe uwe unajifunza uwe unanikumbusha niliyosahau.