Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)


Umeelezea vizuri sana mkuu... yani sanaaa maana nmekupata 369%- but kwa upande wangu hua kuna tatizo moja kwenye astral hua nakutana na guide na ananiambia mambo mazuri sana ambayo toka nizaliwe na hata shule nilizosoma sikuyasikia, tatizo ninaporud kwenye physical body ninasahau vyote au naweza kukumbuka km asilimia 9% tu ya maongezi yote.... cijajua ni kwannnnnn??+#
 

Umeeleweka vizuri, isipokuwa unaposema punyeto haina madhara yoyote kiroho unakosea
Kama wewe unaelewa haya mambo ya kiroho vizuri, jaribu kumchukua mwanafunzi anaepiga punyeto sana na yule ambae hapigi alafu uwafundishe jinsi ya kufungua tu third eye chakra kwa usahihi kabisa uone matokeo yake.
Yule anaepiga punyeto utashangaa anachukua muda mrefu sana kufanikiwa kufungua au atakata tamaa na kuacha. Lakini yule asiyepiga utashangaa anafanikiwa hata ndani ya week moja.
 

mkuu naomba ufafanuzi kwenye post yangu hapo juu
 

Kwa sasa unaweza kuinyamazisha akili kabisa?
 
Wakuu,hi kitu inaitwa meditation huwa natamani niifanye lakini sijui procedure hata 1 unaanza vipi.kitu ambacho nakumbuka kutoka kwenye somo la pasco ni kuwa uwe na lengo.
Naombeni ufafanuzi kdgo jinsi ya kuanza
 

Shukrani sana mkuu. Nimekuelewa vizuri sana pengine kuliko hata ulivyotarajia.
 
Wakuu,hi kitu inaitwa meditation huwa natamani niifanye lakini sijui procedure hata 1 unaanza vipi.kitu ambacho nakumbuka kutoka kwenye somo la pasco ni kuwa uwe na lengo.
Naombeni ufafanuzi kdgo jinsi ya kuanza

Cc aretasludovick
 
Last edited by a moderator:
third eye nimejarbu mara nying but sikufanikiwa, mkuu we unaijua njia nyepes ya kuopen third eye???

Mimi ninalo tatizo la uoga. Kila nikihisi vibration najikurupua.. Tumuite Apollo aje atutoe tongotongo tena maana hakuna namna.
Nadhani ukiweza hii tu, hata yale maelezo unayopewaga ukiwa nje ya mwili utayakumbuka.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ninalo tatizo la uoga. Kila nikihisi vibration najikurupua.. Tumuite Apollo aje atutoe tongotongo tena maana hakuna namna.
Nadhani ukiweza hii tu, hata yale maelezo unayopewaga ukiwa nje ya mwili utayakumbuka.

kuna mtu alishawah kuelezea jins ya kukumbuka journey zako zote kwenye AP lakin bado sijafanikiwa, na kuhusu third eye nafikir Apollo alishaelezea lkn hio njia ilinishinda aiseee
 
Last edited by a moderator:

nimekupata apo masta
 
Wakuu,hi kitu inaitwa meditation huwa natamani niifanye lakini sijui procedure hata 1 unaanza vipi.kitu ambacho nakumbuka kutoka kwenye somo la pasco ni kuwa uwe na lengo.
Naombeni ufafanuzi kdgo jinsi ya kuanza

Kaa mkao wa yoga, Kisha Anza kuvuta pumzi taratibu ndani nje, ndani nje toka tumboni. Akili yote toa kwenye mawazo weka umakini kwenye pumzi hadi ujisahau we mwenyewe. Hakikisha hakuna sauti hapo hata ya kunong'ona. Endelea hivyo, endelea kuweka fahamu zako kwenye pumzi yako kabisa, mawazo yakija usijishughulishe nayo kabisa, endelea kuhamishia akili yote kwenye pumzi hadi utafika mahali mawazo yote yatatoweka ndani yako. Endelea ktk hali hii kwa nusu saa.
Hapo utaanza kupokea nguvu inayotawala ulimwengu inayojulikana kama Cosmic energy.

Kwa msaada zaidi wakija walimu hawa Annael Apollo Pasco mshanajr Rakims watakuelekeza zaidi maana mimi bado nipo kwenye kujifunza tu bado.
 
Last edited by a moderator:

Maandishi murua sana haya mkuu, muhimu watu wayasome na kuyatafakari.
 

Kwa mfano me napenda kujichua ninapomkosa demu wangu kwa wiki naweza jichua mara 2 au 3 je hii itaniathiri afya mana ss hv naona nikijichua spam haziruki km zamani znaishia kudondoka kwa kiasi kidogo tu yaan matone wakat zamani zilikuwa znatoka km mkojo kwa kuruka nikaachaga kunyeto na kudo km miezi miwiri hv araf nkajakudo na gero wngu nkapiz nje lkn hari hile hile znatoka kwa vitone tu lkn nguvu uwezo wa kulimudu tendo na mengi yapo vile vile sana sana vimeongezeka na nafulahia km kawaida je hii inasababishwa na hyo kitu mnayosema khs nyeto au demu wangu ndo hao majitu machafu yanakuachia roho chafu au nyeto imenihathili ama
Nb ktk life yngu nimeshilikiana na wanawake wawili tu ktk kipindi cha miaka 10 tngu nibalehe na nyeto niliianza baada ya kuachana na gero wangu wq kwanza hv sasa ni 6 yrs tngu nianze mchezo wa kunyeto
Mwisho je nifanye nini ili spam ziweze kuruka na kutoka kwa wingi natalaji kuingi ktk ndoa nipate mtoto nimesikia wengi wanasema km huwezi kurusha spam huwezi kutungisha mimba
Au pngne huyu demu ndo chanzo

Km nimetoka nje ya mada nisameheni natalaji nyinyi wenzangu mtanipa ushauli akhsnte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…