Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)

Umeandika vizuri ila kuna tofauti kati ya roho nafsi na mwili. Zinaa ina affect nafsi. Ndyo maana Neno la Mungu linasema aziniye na mwanamke hana akili kabisa kwasababu anafanya jambo lakuangamiza nafsi yake. Ndani ya nafsi kuna akili, hisia, hiari na kile moyo wako unachotamani. Hivyo nafsi yako ikiharibiwa au kuchafuka kwa sababu ya zinaa utajikuta ukifanya mahamuzi yako mengi kinyume na vile ulivyotamani yawe, In short utakosa control ya akili, hisia, hiari na matamanio ya moyo wako, That's why unakuta mtu mfano akikumbuka sex hata kama yuko kazini anajikuta akitamani hata afanye akiwa maeneo ambayo ni very risky. Hii ni kwasababu anashindwa kujizuia. Ni hayo tu!
 

Pole sana Mr kitabakilo
Hizo haziruki tena sababu kila zikitengenezwa unazikamua zinabaki kidogo kwa matumizi mengine ya mwili alafu unazikamua tena.
Ila kwa hapo ulipoacha kwa miezi miwili na hali ikawa ni ileile sijui kwakweli, labda lishe ndio ilikuwa mbaya.
Na kama ukilala na mtu ambae hamuendani ile mikosi huwa haidumu. Inakuwa ni ya muda tu hasa zile siku tatu tuu zikishaisha mambo yanakua kawaida
Labda kama mnaendelea na uhusiano wenu ndio mambo yanakua mabaya kila siku.

Wewe kula vizuri hasa hasa vyakula vyenye protein kwa wingi na maji tu utashangaa mwenyewe jinsi utakavyorusha risasi
Urushaji wa sperm na mimba ni vitu viwili tofauti wala hata haihusiani. Mbegu zikiwa hai na mwanamke akawa hana tatizo mimba lazima ishike.
Cha muhimu sasa jitahidi uache huu mchezo tu maana unaathiri hadi magoti kwa kiasi kikubwa... Ngoja na wengine walete mchango wao.
 
Last edited by a moderator:

Unakuta hana control na mwili wake tena
 

Magoti yanahitaji sana nishati inayozalishwa na hizo mbegu kwa kiwango kikubwa ndio maana maeneo ya kwanza kuathirika ni magoti, macho na mengine mengi.

Ni kama grisi kwenye kiungo chochote cha chombo cha usafiri, kama ikikosekana ndio mwanzo wa chombo kufa.
Magoti yanauma kama vile ni ule ugonjwa wa baridi.
 
Jamani mm nimenua kufunguka ili nipate msaada ndo mana naeleza kwa undani zaidi maana mficha maladhi kifo humuumbua sasa km kuna nawakwaza kwa maelezo yngu mnisamee sana

Hata mimi kama ningeficha huu mchezo hadi leo sijui ningekuwaje.
Humu wapo wanaoogopa kufunguka japo wanateswa na hili jambo. Mfano huyo mwalimu aliyenifundisha hadi nikatoka humo, alimfundisha mwingine ambae alikuwa ameathirika na punyeto mpaka kufikia kutoona tena vizuri.
Hospital anaenda akipimwa hamna ugonjwa anapewa tu madawa na hayamsaidii badala yake anaumwa na macho tu.
Alipopewa maelekezo jinsi ya kuishi na akatekeleza sasa ni mzima na anaona vizuri kabisa
 



Hiyo mikosi ndio pale aliposeama Apollo mm kwa uwelewa Wang hiyo bond its depend inakuja kwa njia gani.unajua kivip no HIVunaweza ukawa na mafanikio kwa kuwa na mahusiano ya kimapenz na mtu a halafu usiwe na mafanikia na mMTU b
 
Last edited by a moderator:

Pamoja na yote mkuu wewe mwenyewe unapaswa kuamua kwa dhati kuacha, mana hata huyo mwalimu hatakupeleka rehab. Hivyo hatua ya kwanza ni wewe mwenyewe kukata shauri. Kitu kisicho na faida kwako cha nini? Anza kujikeep busy, mfanye google kuwa rafiki yako wa karibu. Kuna blog inaitwa Jitambue sasa hebu anza kuwa unaipitia kila siku.
 

Mpaka hapo ameshajitahidi kuacha lakini akashindwa.
Mimi pia nilipogundua kuwa matatizo mengi niliyokuwa nayo chanzo chake ni huu mchezo, nilijilaumu sana na kujiwekea ahadi ya kuacha.
Chaajabu nikashindwa kabisa ikawa ndio nimezidisha, nikajiona sina thamani tena kwenye dunia hii
Ndipo nilipokutana na jamaa ambae anafaham haya mambo ya kisaikolojia akanisaidia kwa kiwango kikubwa pia nikaanza kupitia blog ya Apollo ya Jitambue sasa.
Kwanza nikakuta maelezo kule ya jinsi ya kutawala mawazo yako, kufanya meditation nk na hapo ndio nikaweza kuacha kabisa.

Kama ukila vizuri na ukaacha huu mchezo ndani ya week moja tu unaona matokeo mazuri
 
Last edited by a moderator:

Sikuwahi kufikiria kuwa ni ngumu kuacha kiasi hicho labda kwavile sikuwahi kuwa addicted. Basi kwavile ameamua ataweza
 
Last edited by a moderator:
Sikuwahi kufikiria kuwa ni ngumu kuacha kiasi hicho labda kwavile sikuwahi kuwa addicted. Basi kwavile ameamua ataweza

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Chunga sana usije kuingia kwenye mtego huu maana kuna hata waliooa/kuolewa bado wanaufanya sana tu.
 

Fanya hiyo ya pumzi tu ndio nzuri kwa wewe unaeanza. Hiyo ya kuhesabu namba kinyumenyume ni ya kujizoesha kuwa na kumbukumbu,.
 
nimewapata vizuri sana wote mtoa mada na wachangiaji. ila naomba kuuliza nje ya mada kidogo. mimi nina mtu ambaye tupo kweny uhusiano (i hope she is future wife) ni mwaka sasa. toka nianze nae uhusiano mambo yangu yameenda vzuri kwa kiasi fulani. ila kuna jambo linanshangaza ikitokea siku tukikorofishana halafu aninunie mambo yangu hayaend kabisa (cfanikiwi). ila nkimfurahisha mambo yananinyookea sana. (hata yeye nlimuomba asiwe ananinunia, kwan nlimjuza hili). HII NAYO NI NINI WAKUU?
 
Na ukiendelea sana huo mchezo baadae sana utajiskia kufanyiwa wewe badala ya kufanya.
Apo sasa....
 



nashukuru na nimefurahi kama umenielewa.. ntakujibu maswali yako.

kwenye swali lako i/
ni kile kitendo tu cha sex ndo tunachokiangalia... sex tu kama sex hufungua niite gates za soul.. au path kwa ajili ya new spirit...kile ambacho kitapita endapo lengo lenu sio roho ya binadamu (lengo sio mtoto) ndio kinatakiwa kukufanya uepuke kujamiiana na kila mtu... mfano: umeshawai kusikia watu waliokamatwa makaburini /mochwari wakizini na maiti.. au cases kama hizo.. hii ni maiti.. ila mtu anazini nayo.. nini mana yake? anaungana na roho (ambayo ipo ndani ya ile maiti kwa muda) ili pamoja waingize spirit juu ya yule mhusika (rejea post yangu ya kwanza.. nilisema.. kunapokua na sex... kuna chance spirit itakayoingia kupitia nyie ikabaki ndani ya mmoja wenu). hii ndio sababu basi.. katika kila jamii na dini duniani kuna utaratibu maalum wa kuunganisha watu wawili kwenye ndoa..utaamua wewe kuita baraka, dua etc ila kinachofanyika ni kuwaombea ili kila wanapokutana kimwili wawe salama.

ii/ swali zuri.. nimefurahi.. ni topic nyingine ila ntakujibu kwa kifupi. ndugu inabidi ufahamu.. kila roho iliyopo.. na iliyokuepo na itakayokuepo ina kazi /purpose /assignment... umeletwa kwenye hii sayari kwa ajili ya kazi flani.. ni muhimu kutambua umeletwa kwa ajili ya nini.. (its another topic kama nlivyokwambia).. (rejea bibilia mfano wa talanta) Yesu aliongelea hili suala ila kwa mfano wa talanta..now.kila siku unayo amka kitandani ni nafasi nyingine uliyonayo kufanya assignment... once ukiimaliza.. huna sababu ya kuendelea kubaki humu.. utaitwa..

iii/nadhani umeelewa sasa.. ni kwa jinsi hii hata Yesu alivyomaliza kazi yake aliondoka.. (kazi ambayo wengi hawajaielewa hasa)..kwa kukusaidia pia.. hakuna kazi yoyote/maagizo ambayo roho ilipewa ili yawe yanahusu mwili.. maagizo inayopewa roho ni kwa benefits za roho.. sio mwili..The higher power is a spirit.
 
 
 

Hili la kuaacha ili ufanye mambo yako kiroho kwa ufanis ni ukwel mtu...kuna kaka mmoja Mungu alimpa kipaji cha kutibu na kutoa mapepo kipind hicho alikuwa na umr kama miaka 19_20 na alikuwa mtumish kanisan kiukwel watu walikuwa wanaenda kwake kutoka sehem mbal mbal na wanapona kabisa, matatizo yao ila huwez amin huyo kaka alikuja kuwa na mwanamke kile kipawa chake chote kikaondoka na sasa ni mtu wa kawaida kabisa ule uwezo wa kiroho hana tena.
 

Yoga ni mkao wa vp mkuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…