SEX in marriage. Kipi ni kipi?

I see Ndahani ......
 
Last edited by a moderator:
Ndahani list isikushtue ni namba tu hizo ukijilipua Ero yupo kwa ajili yako
 
Last edited by a moderator:
sweetlady si ulisema kwa shida na raha au ilikuwa igizo
Blaki Womani my darling wifi, nani kakudanganya kuwa siku hizi tunasema kwa shida na raha?.....nani anataka shida mpendwa......mie nilisema kwa raha tu sasa nilivyokuta kuna shida ikabidi nijiweke pembeni!
 
Last edited by a moderator:
Ndahani list isikushtue ni namba tu hizo ukijilipua Ero yupo kwa ajili yako

Kujilipua kunataka vigezo...nashindwa kujilipua hewani....and it takes two to dance blues... Blaki Womani, number is just a number...lakini kuna vigezo. Wengine tulisoma hesabu za ratios...na hatuja sahau
 
Last edited by a moderator:
ulichezea shilingi chooni sasa naona umerudi kwa ari nguvu na kasi mpya kaa mbali kabla sijamwita Husninyo

Niliidaka kabla haijadumbukia....ya kakayo ikazama moja kwa moja.....
Nimerudi na nimejipanga sawa sawa....hawa kina klorokwini na nitonye hawaninyimi usingizi hata kidogo... Husninyo kajibanza zake mpwapwa...
 
Last edited by a moderator:
Blaki Womani my darling wifi, nani kakudanganya kuwa siku hizi tunasema kwa shida na raha?.....nani anataka shida mpendwa......mie nilisema kwa raha tu sasa nilivyokuta kuna shida ikabidi nijiweke pembeni!

hahahahha my sweet wifi ni bingwa wa maigizo shida utakuwa umesababisha wewe baada ya kudai pesa za shopping kila siku ooohhh hujazoe kutembelea bebiwoka unataka Kilimo kwanza
 
Niliidaka kabla haijadumbukia....ya kakayo ikazama moja kwa moja.....
Nimerudi na nimejipanga sawa sawa....hawa kina klorokwini na nitonye hawaninyimi usingizi hata kidogo... Husninyo kajibanza zake mpwapwa...

khaaa kimya kingi kina mshindo mkuu umekuja na ya Sumbawanga au? naona sweetlady anapoteza uwezo wa kujitambua
 
Last edited by a moderator:
hahahahha my sweet wifi ni bingwa wa maigizo shida utakuwa umesababisha wewe baada ya kudai pesa za shopping kila siku ooohhh hujazoe kutembelea bebiwoka unataka Kilimo kwanza

Sio siri hapa nimecheka mpaka machozi lol.....wifi umepinda wewe eti kilimo kwanza ....daah..... you made my day for real.....
 
khaaa kimya kingi kina mshindo mkuu umekuja na ya Sumbawanga au? naona sweetlady anapoteza uwezo wa kujitambua

Hakuna cha sumbawanga hapa .....ni mapenzi ya dhati tu wifi.....tena nahisi kakako ndie aliniendea sumbawanga manake niliwezaje kumkubali na ile sura ngumu vile?.......
Vin Diesel nisamehe sana my darling ile haikuwa akili yangu kabisa.....nakuahidi kuwa mtulivu daima!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…