FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Mbona nimekuwa mkweli sana kwake FirstLady1...nimemwambia Erotica anipe hint ya namna gani mtu huwa anapendwa tena online, na hajafanya hivyo.
Sijui aliziona six packs zangu kule mjimwema beach na akasikia jina langu? Hata sielewi inakuwaje...ila nashukuru umemuimbia huo wimbo....lakini hata hivyo naogopa kuwa no 30...ni list ndefu sana hiyo ukiwa kwenye mid 20's.
I see Ndahani ......
Last edited by a moderator: