Una waza kupewa pesa tu huo utamu kwani mwanamke hapati?Tendo la sex linamdhalilisha mwanamke na kumfedheesha sana
Jinsi anavyoshughulishwa wakati wa kufanya sex, , abinywee, akunjweee, daah alaf ukute apewei pesa daah sex haipo fair Kwa mwanamke ni kweli
Kama nature imetaka hivyo Kuna sehemu imemuonea mwanamke kibaya zaidi apate mimba akazae aingie leba yaani nusu kifo
Na siku izi na wao wanakula Kwa jasho yaani wanaotafuta kama tunavyotafuta sisi aisee
Sex haipo fair Kwa mwanamke
Unawaongelea wanawake pekee! Mbona huwaongelei mashoger! Halafu usiwasemee. Waache wajisemee wenyewe.Tendo la sex linamdhalilisha mwanamke na kumfedheesha sana
Jinsi anavyoshughulishwa wakati wa kufanya sex, , abinywee, akunjweee, daah alaf ukute apewei pesa daah sex haipo fair Kwa mwanamke ni kweli
Kama nature imetaka hivyo Kuna sehemu imemuonea mwanamke kibaya zaidi apate mimba akazae aingie leba yaani nusu kifo
Na siku izi na wao wanakula Kwa jasho yaani wanaotafuta kama tunavyotafuta sisi aisee
Sex haipo fair Kwa mwanamke
Oya mkuu, taratibu basi! Unapomwambia mwanamke anapopigwa paipu anafurahi itafanya kijana huyu wa kiume mbichi, naye atatamani apigwee paipu ile aone kama ni kweli.Kwahiyo unamuonea mwanamke huruma pale anapopigwa paip? You can't go against the nature.... Nakupa tu Taarifa...hizo harakati ndio hao wanawake wanapenda Sasa ... Kama unawaonea huruma basi kama vip ndugu mwana jeiefu jivue ubingwa😎. Binti wa zamani na Seran mpenzi neno la ushauri huyu member KABLA hatujampoteza
Naam nitazingatia ushauri... Over 🫡Oya mkuu, taratibu basi! Unapomwambia mwanamke anapopigwa paipu anafurahi itafanya kijana huyu wa kiume mbichi, naye atatamani apigwee paipu ile aone kama ni kweli.
Siku nyingine unapoongea na vijana hawa wadogo kuwa makini kaka.
Tokea nimejiunga jeiefu sijawahi kukutana na Uzi mwanamke analalamika kuhusiana na ishu hii aliyoileta hapa... It's better awaache wakina mama wajisemee wenyewe... Yeye kuwasemea inatia mashtaka sanaUnawaongelea wanawake pekee! Mbona huwaongelei mashoger! Halafu usiwasemee. Waache wajisemee wenyewe.
Kuna aina ya nyuzi huwezi kuleta kama una haiba ya kike!Tokea nimejiunga jeiefu sijawahi kukutana na Uzi mwanamke analalamika kuhusiana na ishu hii aliyoileta hapa... It's better awaache wakina mama wajisemee wenyewe... Yeye kuwasemea inatia mashtaka sana
Hajui alisemalo, achana naye!Kwahiyo unamuonea mwanamke huruma pale anapopigwa paip? You can't go against the nature.... Nakupa tu Taarifa...hizo harakati ndio hao wanawake wanapenda Sasa ... Kama unawaonea huruma basi kama vip ndugu mwana jeiefu jivue ubingwa😎. Binti wa zamani na Seran mpenzi neno la ushauri huyu member KABLA hatujampoteza
Achana na hayo mambo, kutokana na huu ugumu wa maisha, unapambana vipi kujikwamua kiuchumi?