zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 677
- 1,234
na ndiyo maana huwa sipendi kukaa karibu na familia yangu nikiwa na silaha... naghadhibika sana na sana mtu mpuuzi.Duh ni hatari, lakini sidhani kama mwanao atakuwa na mawazo haya ya kipuuzi namna hii!
Usiniambie unaweza mtwanga na silaha mwanao akileta upuuzi?na ndiyo maana huwa sipendi kukaa karibu na familia yangu nikiwa na silaha... naghadhibika sana na sana mtu mpuuzi.
mbususu poriMdogo mdogo utasema tu unatamani kutoa.mbwa
umewaza nini kiongozi.Daaaah nimewaza mbali sana..
Alafu nikacheka
kabisa ache mana akileta tuhuma hizi kwenye vikao vya wanaume, atafukuzwa na atajuta kueka wazo hilo.Mkuu punguza kusikilza taarabu na kufatilia mambo ya wanawake
Usiniambie unaweza mtwanga na silaha mwanao akileta upuuzi?
Kumbe senge
shamembususu pori
Hapo sawa!siwezi mtwanga na ndio maana sikai karibu na silaha...
We dogo,Tendo la sex linamdhalilisha mwanamke na kumfedheesha sana
Jinsi anavyoshughulishwa wakati wa kufanya sex, , abinywee, akunjweee, daah alaf ukute apewi pesa daah sex haipo fair Kwa mwanamke ni kweli
Kama nature imetaka hivyo Kuna sehemu imemuonea mwanamke kibaya zaidi apate mimba akazae aingie leba yaani nusu kifo na mtoto wanaume tukamkataa au ukakataa tangia mimba
Na siku izi na wao wanakula Kwa jasho yaani wanaotafuta kama tunavyotafuta sisi aisee
Sex haipo fair Kwa mwanamke