Sex inamdhalilisha sana mwanamke

Vipi na wewe kuwa kama wao, shika ukuta uliwe, chutama afu ingia leba na kila kinachowahusu chukua nafasi yao....
Maana umeandika pointless
 
hiyo nistarehe, na hizo heka heka nikupendezesha sex, nakuhusu kuzarilishwa, ni labda kama anapostiwa akiwa anafanya ilo tendo. Ila anafanya na mpenzi wake au mumewake na kama unaona bado anazarilishwa, basi niyeye anajizalilisha baada tu ya kukubali kusex, sijui umenipata hapo.
 
Sex sio biashara, sema ndo hivyo tu watu wameshindwa kujali utu, na kufanya starehe kua biashara inayokalia upande wa mwanamke, japo kua kazi kubwa hufanya mnunuzi au mlipaji ambae ni mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…