Sex ipo overrated sana sio tamu kihivyo

Sex ipo overrated sana sio tamu kihivyo

Je, unakubali kuwa sex iko overrated, sio tamu kihivyo?

  • Sio tamu kihivyo

    Votes: 11 55.0%
  • Mtoa mada hayuko sahihi

    Votes: 9 45.0%

  • Total voters
    20
  • Poll closed .
Ni fikra tu za kijinga za kukulemaza uache kufanya mambo yako ya msingi uwaze hayo tu

sex sio tamu kiivyo na mademu wasituone tunafaidi sana wakatugeuza mitaji
Kutatua utata weka option ya poll tupige kira uone kama utashinda ....
 
Ni fikra tu za kijinga za kukulemaza uachr kufanya mambo yako ya msingi uwaze kutiana tu.

sex sio tamu kiivyo na mademu wasituone tunafaidi sana wakatugeuza mitaji
Ni sahihi raha ya sex haipo kwenye kufanywa kila siku,bali raha ya sex ipo katika kufanya penye hitajio.

Kama chakula tu,unatakiwa ule ukiwa na njaa ndio unaona utamu wa chakula.

Na sex ndio hivyo hivyo pale umekabwa na nyege haswaa haswa ndio wakati wakw huo na utaona utamu wake.

Kwa hiyo inatakiwa uusikilize mwili wako kwanza unapohitajia ndipo utii amri ya mwili huo.
 
Ni fikra tu za kijinga za kukulemaza uachr kufanya mambo yako ya msingi uwaze kutiana tu.

sex sio tamu kiivyo na mademu wasituone tunafaidi sana wakatugeuza mitaji
Sex inakuwa nakuwa tamu pale endapo tu utaifanya wakati una nyege za hali ya juu.
 
Back
Top Bottom