Sex ipo overrated sana sio tamu kihivyo

Sex ipo overrated sana sio tamu kihivyo

Je, unakubali kuwa sex iko overrated, sio tamu kihivyo?

  • Sio tamu kihivyo

    Votes: 11 55.0%
  • Mtoa mada hayuko sahihi

    Votes: 9 45.0%

  • Total voters
    20
  • Poll closed .
P
Ni fikra tu za kijinga za kukulemaza uache kufanya mambo yako ya msingi uwaze hayo tu

sex sio tamu kiivyo na mademu wasituone tunafaidi sana wakatugeuza mitaji

Sex watu wawili sehemu mbili zinasuguana kwa muda, zinapata moto, zinatoa majimaji. Mchezo umeisha.

Muhimu ni commitment, kulea watoto, bila hicho kitendo cha sex hatuna vizazi vipya, tutatoweka duniani.
 
Kwa hiyo kila anyefanya ngono anapata ukimwi siyo?.
Ngono ingekuwa t@mu watu wasingekuwa wanagonga na kuingia gizani.
Ukianza kuugua UKIMWI unakosa raha kabisaa.......yaaani dunia unaipa kisongo.

Starehe mnazipenda lakini mwisho wake mbaya..........
acheni uhuni....
 
Ni mtizamo wako mwenyewe au umeshawishiwa?
 
Punguza hasira kidogo, embu elezea taratibu upewe miongozo...
 
Utamu huja Baada ya Hisia. Kama Hisia Zipo Kushoto hutauona Huo Utamu
 
Sijui nichangie nn apa....

Ni tamu ila sio kiviiiile.
 
Back
Top Bottom