Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kwa hiyo kila anyefanya ngono anapata ukimwi siyo?.UKIMWI bado ni ugonjwa hatari sana.
UKIMWI unaua.
acha ngono, utakufa.
Ni fikra tu za kijinga za kukulemaza uache kufanya mambo yako ya msingi uwaze hayo tu
sex sio tamu kiivyo na mademu wasituone tunafaidi sana wakatugeuza mitaji
Waelimishwe na sio kuendelea kuintertain hiyo tabia yao ya kufichaficha..Wanawake hawanaga nyege mpaka umboost au wanaficha tu hitaji hilo na anakua na hamu
[emoji23][emoji23]Haya ndio madhara ya sabuni bora hata ungekua unatumia mafuta.
Ukianza kuugua UKIMWI unakosa raha kabisaa.......yaaani dunia unaipa kisongo.Kwa hiyo kila anyefanya ngono anapata ukimwi siyo?.
Ngono ingekuwa t@mu watu wasingekuwa wanagonga na kuingia gizani.