Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha so funny!!!!!!ngoja niiprint nikawasambazie watoto wa secondari/shule za kata muone kazi yake
Peace of mind mama, kufanya kabla ya ndoa unakuwa umeiibia jamii yako, dini yako, mila yako, wadogo au wakubwa zako n.k!!! Yaani ni full-wizi! Kwa hiyo inakuwa siyo kamilifu, huwezi pata faida zake zote. Piga picha una girlfriend/boyfriend ambaye mnaweza kupeana angalau mara tatu kwa wiki kwa miaka kadhaa, wakati huo huo hamuwezi/hamtaki kuoana!! Huo siyo tu ni wiz,i bali pia ni full ma-stress.Hivi kuna tafauti gani kati ya anaye "sex" akiwa ameoa na yule anayefanya hivyo akiwa hakuoa? Huyu wa mwisho hatopata faida za kiafya zinazotokana na uloda?
Wee Ivuga weee!ngoja niiprint nikawasambazie watoto wa secondari/shule za kata muone kazi yake