Sex ni afya

Sex ni afya

mie nahisi psychologically watu hawa wawili watakuwa na hisia tofauti wakati wa tendo nahivyo kusababisha matoke yawe tofauti baina yao.wmenye ndoa huwa anafurahia zaid coz anakuwa free na upatatendo kila anapoitaji tofauti na sie ambao tunavizia.
 
AAH! Hapa me nina miaka yangu kadhaa af we unadai et ni sex katika ndotu?? me nikae hivivi??

jamani mmoja kati wa masingle basi aje tuform couple fasta ili tufaye sex manake hapa tunaeza kosa afya.
 
Hivi kuna tafauti gani kati ya anaye "sex" akiwa ameoa na yule anayefanya hivyo akiwa hakuoa? Huyu wa mwisho hatopata faida za kiafya zinazotokana na uloda?
Peace of mind mama, kufanya kabla ya ndoa unakuwa umeiibia jamii yako, dini yako, mila yako, wadogo au wakubwa zako n.k!!! Yaani ni full-wizi! Kwa hiyo inakuwa siyo kamilifu, huwezi pata faida zake zote. Piga picha una girlfriend/boyfriend ambaye mnaweza kupeana angalau mara tatu kwa wiki kwa miaka kadhaa, wakati huo huo hamuwezi/hamtaki kuoana!! Huo siyo tu ni wiz,i bali pia ni full ma-stress.
 
ngoja niiprint nikawasambazie watoto wa secondari/shule za kata muone kazi yake
Wee Ivuga weee!
Wasambazie halafu nikuitie yuleeee bidada wa wakati uleee!! unamkumbuka? Si unataka kuongeza kasi ya kuwaharibu wadogo zetu eeh? Jaribu uone sasa...
 
Back
Top Bottom