Sex unaipa asilimia ngapi kwenye mahusiano yako?


Mimi ipo 100% Nina nguvu nyingi Sana, yaani natafuta Kila siku sehemu ya kuzipunguza

Yaani siku haipiti bila dozi kutwa mara tatu
 
Ivi tuseme, partner asipokugonga kwa muda mrefu letsay kutokana na changamoto za kiafya ama mazingira ya kifungo, waweza kuvunja mahusiano ama ndoa hiyo?

Nimeuliza makusudi kujaribu kuipima nguvu ya upendo na nguvu ya sex katika mahusiano, maana 60% tayari imeegemea upande mmoja na kuonesha 'rangi halisi ya ngozi yako'.

Kwa maelezo yako naomba ufafanuzi wa kina madam!
 
Kwasasa wakuu sitaki maan ukiomba naww unaombwa nasubr nipate jiko tu
 
-0.001%
 
Sex ni 95% ila inaenda ikidicline kadiri mnavoendelea kuwa pamoja kwenye uhusiano na thamani nyingine unayoleta.Kiufupi mnaendelea kukaa pamoja kwa kutegemea hio 90 inavyopungua inajaziwa na nini ili uweze kuona umuhimu wa kuwa na mtu.Ndio maana uhusiano unaweza ukakyumba kwenye SEX ila mambo mengine yakaazia na kila mtu akatafuta sex anakojua yeye ila mambo mengine kwenye uhusiano yakiyumba SEX huwa inakuwa haina umuhimu tena hasa kama hayo mengine unayapata kwengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…