billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,496
- 1,760
1000000000najua ni katikati ya siku ya kazi ila naomba unijibu hili swali
binafsi naipa 60%
hiyo ingine ndo vitu vingine kutoka kwa partner
sababu:vitu vingine unaweza pata popote ila sex kama mjuavyo ni kwa mtu wako
so kama siipati kwa asilimia 60
naona si haki
na sitafurahishwa na hayo mapendo
sijazungumzia upendo ...tuelewane hapa
😄😄😄☺☺☺☺Wewe huyo... uongooo...
game over
Yeah..i know😀game over
🤣🤣🤣Yeah..i know😀
💪🤣🤣🤣chukua mia zangu na mia zako na mia za secretarybird zinakua ngapi
Inasikitisha sana0 siku nyingi nilijua kuwa wanaume ili wakuchukulie nyota lazima ulale nao.
Niliwezwa nilipoteza niliumizwa kisa dudu.
Mungu alimuumba mwanadamu akampa jinsia hiyo jinsia ni utambuzi wa utofauti kati ya mwanaume na mwanamke.
Alimpa mwanamke bikra ili atakayemuoa ammiliki.
Tulishatoa ubikra na aliyetoa alienda na mafungu yetu.
Na wale waliobakia walichukua kilichobakizwa .
Mwanamke hutoa asilimia nyingi pale anapofanya mapenzi anampa mwanaume wake urahisi wa kumtumia kimaslahi.
Unaweza kuchafuliwa ,kupotezwa,kuuliwa kisa nini epuka ngono zembee.
Niliachga 2017, nikarudia 2024 pale nilipopata kizaza,.
Sex sio kipaumbele kwa sasa.
Kwa mwanamme Sex ni around 90% and 10% others kupikiwa msosi mzuri+kufuliwa+kuhudumiwa.najua ni katikati ya siku ya kazi ila naomba unijibu hili swali
binafsi naipa 60%
hiyo ingine ndo vitu vingine kutoka kwa partner
sababu:vitu vingine unaweza pata popote ila sex kama mjuavyo ni kwa mtu wako
so kama siipati kwa asilimia 60
naona si haki
na sitafurahishwa na hayo mapendo
sijazungumzia upendo ...tuelewane hapa
Unakumbuka ule Uzi wa jini Arsis? Ulisemaga na wewe una karama unatibu watu unasafisha nyota na mambo kama hayo watu wengine wakazama inbox sijui mlimalizanaje, tena na wee walimwengu wakakunyoosha tabibu?0 siku nyingi nilijua kuwa wanaume ili wakuchukulie nyota lazima ulale nao.