Sextuplets ni baraka kwa familia

Sextuplets ni baraka kwa familia

Kuna jirani yangu hapa yeye Hadi kwenda kunyoa saluni anaona anasa kisa hayo hayo mambo [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna jirani yangu hapa yeye Hadi kwenda kunyoa saluni anaona anasa kisa hayo hayo mambo [emoji38][emoji38][emoji38]
Huyo jirani yako ni tajiri wa kesho. Hawa watoto wote wakifanikiwa kila mmoja kupeleka laki nyumbani mwisho wa mwezi, atakula pension.
 
Hahaaa ninao wawili mapacha mziki sio wa kitoto
 
Back
Top Bottom