Sexually transmitted demons/maambukizi ya mashetani kwa njia ya ngono. Nini uhalisia wa janga hili?

hii ipo sana unaweza kukutana kingono na mtu ukapata mikosi ya ajabu ajabu au ukaoa mwanamke vilevile ukaandamwa na mikosi ambayo hapo awali uliisikia kwa watu tu!jambo lipo kuna sehemu unaweza kuchumbia ukaambiwa pale ni mlango wa 8 si mchezo lazma uonje chungu!hakuna kitu naogopa kama nuksi na mikosi mungu tuepushie
 
1wakorintho 6:16
Yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja nae......
Do you not know that he who unites himself with a prostitute is one with her in body? For it is said, “The two will become one flesh.17 But whoever is united with the Lord is one with him in spirit.
Hauna hoja au reference zaidi hapa maana hapa naona kama pako limited kwa Mtu wa Mungu (Holy spirit Temple) na Kahaba. Vipi kuhusu watu walio nje ya mfumo. Au Kuwa mwili mmoja kunaendaje hadi kuwa Spiritually(demonically one) maana hapo amezungumzia Kuungana na Mungu na Mwanadamu shetani hayupo kabisa.
Kama inapenya hadi spiritually kwa nini Mwanamke akitenda dhambi mme wake nae hawi ametenda dhambi automatically maana ni mwili mmoja.
maelezo saidi maana hizi habari kuna watu wamenatishika
 
Sitopenda kuzungumzia mapepo wala majini,
Kawaida mwili wa mwanadamu una nguvu au tuseme energy, energy hizi ni tofauti kati ya mtu na mtu, energy hizi zinabema mambo mengi kumuhusu mtu, SEX ni kitendo cha muunganiko wa kimwili kati ya jinsia mbili, wakati muunganiko huu unafanyika panatokea pia linking ya body energy. One person body energy inaweza kuathiri other body energy au kukatokea energy transfer from one body to another, kama umepokea energy from other person, inategea how stong is your energy, ile energy ngeni inpoingia katika mwili wako inaweza kuleta conflict with your energy au isilete chochote.

N:B sio kila staili ya sex inafanya energy contact, na kuna nyingine zinafanya more na nyingine zinafanya less.



 


Body Energy Alignment is the balancing of the bodies energy centres. These are commonly known as the CHAKRAS. When our energies run down or we are stressed these energy centres can get out of alignment or out of phase. By balancing and re-aligning these lines of energy (meridians) the body’s natural balance can be restored.
 
sawa sawa mkuu naona umetanua wigo.
Cocept ya muunganiko ikoje kama hakuna Blood connection.
Naomba tofauti kati ya miunganiko hii
1:Watoto mapacha wamezaliwa wameungana vichwa au mwili (Bloodly conncected)
2:Watu wawili waliounganisha sehemu zao mbili za miili ila sio sexual organs mfano Ndimi, Mikono,Midomo au contact ya miili hii inatofauti gani na watu wawili wakiunganisha sehemu za siri hadi hii ionekane kuwa ndio connection bora kabisa kwa mujibu wa sayansi hii hapo juu.

changamoto kidogo mkuu
 
When doing sex katika mtingo unao fanya body energy points to meet, hapo panakuwa na clear energy transfer or sharing.


Energy transfer implies the release of potential energies across a potentiated* space. The sexual energy transfers occur due to the polarizations of two mind/body/spirit complexes, each of which have some potential difference between them.

The nature of the transfer of energy, or of the blockage of this energy, is then a function of the interaction of these two potentials. In the cases where transfer takes place, it is like a circuit being closed






 
why that energy is specifically for sexual connection and not other connections such as wakati mama anamsaidia mtoto mdogo aliyesiba pua kwa kumnyonya kwa kutumia mdomo.

huu mfano huku afrika ni mdomo wa mama unavuta kupitia pua ya mtoto. Huku hakuna potential energy kwa nini tendo la ndoa tu.
Najaribu kuwaza kwa mbali
 
hii ni imani au ni kitu chenye ushahidi sehemu flani.
Maana kama ni bibilia imesema Usizini, Adhabu usipotubu ni Moto, au zamani wanamalizana nae palepale.
hii ni changamoto lazima ipatiwe majibu ili kama ni hofu iondolewe watu wajue vitu kwa uhalisia wake ila sio hisia.
Wenda zikawa ni mawazo ya watu. Maoni yako tafadhali
 
damu inahusikaje pale mkuu,
Ni kweli mashetani yanacontrol mfumo wa fahamu ndio maana yanaweza kumzima mtu macho akawa kipofu akiombewa yakafukuzwa anaona.
Naomba uyaweke hayo Mengi.
Maana lengo hapa ni kupata hitimisho la uhalali au uhalamu wa fundisho hili kwa ushahidi sio ushuhuda
 
umetoa ushuhuda sio ushahidi kutoka katika chanzo flani mkuu.
Lengo la Mada ni Kujua Uhalali au uharamu wa janga hili
 
mama na mtoto wana share energy zinazo fanana kama ulivyo uliza pia kuhusu mapacha. Kama vile mume na mke baada ya muda wa kuwa pamoja kunakuwa na muunganiko wa kuzoeana wa energy ambao unakuwa hauna madhara, lakini pia inaweza kutokea kukawa na madhara ya ki energy kati ya mke na mume.
 
nashukuru kwa ufafanuzi mkuu, hizi energy unazungumzia zipi hizi hizi tunazozisoma kwenye physics au kuna extra-terrrestrial energies
 
Ebu tuone yako yenye maana mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…