Sexually transmitted demons/maambukizi ya mashetani kwa njia ya ngono. Nini uhalisia wa janga hili?

Shetan/majini cjui pepo wachafu huonekana katika ulimwengu wa roho hivyo hivyo na M/Mungu. Unapopitia katika majaribu (mazito/mepes) na ukayashinda n Mungu pekee....hayo majaribu n shetan. Nazungumzia kiroho zaid, usidhan n kwa utash na akili zako. Lkn kama ww sio mtu wa sala/ibada ni ngumu kukubaliana na hii mada.

Binafs naungana na mtoa post n kweli hv vitu vipo japo hapa kaelezea kimahusiano zaid
 
Ulimwengu wa roho ni upi?

Ulimwengu wa mwili ni upi?
 
Naamini kwa uliloliongea.
Zamani nilipokuwa mjinga nilikuwa na mchepuko wa kiislamu, nilikuwa napata tabu sana nae, kwanza tulikuwa tunagombana sana bila jambo la msingi! pili mambo yangu yalikuwa yakienda vibaya sana, tatu tukiwa faragha jongoo hawiki kabisa hata nikaenae mwezi, akija kuwika dak 1 ni nyingi amelala, ila nikirudi nyumbani wala sina shida hiyo. nikaja mwambia anatatizo kwani hali yangu inabadilika nikiwa nae. akaconfess ana jini mahaba la kiume na kila siku usiku anaota anaingiliwa na mwanaume hivyo akiniona mie anakasirika sana, baada ya kujifunza elimu Habari njema michepuko nimeacha kabisa.


 
Pamoja na kuwa bado siwezi kutoa vielelezo kutoka ktk maandiko lakini jambo hilo ni kweli kbs. Na siyo tuu kwa walio nje ya ndoa bali hata wanandoa wenye background ya masuala na imani za kimizimu wanaweza kuambukizana mapepo na majini kwa njia ya tendo la ndoa. DAMU INAHUSIKA KURUHUSU MAMBO MENGI KIMWILI NA KIROHO. TUKUMBUKE PIA WANAOENDA KWA WAGANGA AU WANAOPEWA MASHARTI YA KUTOA KAFARA, HUWA KINACHOHITAJIWA HUWA NI DAMU!!!
KWA WAKRISTO, DAMU ILIKUWA IKITOLEWA KAMA SADAKA MBELE ZA MUNGU ALIYE HAI KWA AJILI YA KULETA MSAMAHA WA DHAMBI KWA WAISRAELI NA HATA SASA DAMU YA YESU KRISTO IMEBAKI KWA Ajili ya ulinzi na utetezi wetu wanadamu ktkt wakati huu wa neema na kinyume na mateso ya nguvu za Giza. Hivyo ijulikane wazi kuwa TENDO LA NDOA LINA MAANA SANA KIROHO!
Huo mfano uliotolewa hapo juu na mdau kuwa kama mtu ametenda tendo na watu 500 wenye mapepo au wenye background za kimapepo uwezekano UPO wa kumuhamishia mwenziwe mapepo hayo!!!
NDUGU ZANGU ULIMWENGU WA ROHO UNA MAMBO MAKUBWA MNO!!!!
JITAHIDINI KUSOMA MAANDIKO MATAKATIFU NA VITABU VINGINE MTAONA WENYEWE.
 
UKIPATA SUPPORT YA MAANDIKO UWEKE PIA
 
Ni kweli sina dini ila nina Mungu

Msingi wa dini ni ibada za wafu

dini ni tegemeo la watu wapumbavu na wajinga,

Mungu ni tegemeo la watu wenye busara, hekima na maarifa
Jamani huyu mdau aliyesema hana dini ila ana Mungu nampa pongezi kwa sababu Dini kiuhalisia ni utaratibu tuu wa kumwabudu Mungu Mwenye enzi yote na utukufu wote na heshima zote na adhama zote!!!
Mfano ktk Ukristo Biblia Takatifu katika kitabu cha Yakobo( 1:26-27) inasema (DINI ILIYO SAFI, ISIYO NA TAKA MBELE ZA MUNGU BABA NI HII,KWENDA KUWATAZAMA YATIMA NA WAJANE KATIKA DHIKI YAO, NA KUJILINDA NA DUNIA PASIPO MAWAA.)
Yeyote anenaye lolote kuhusiana na dini aondoe lile wazo la Christianity,Judism,Islam, Buddhism among others, haya ni majina tulizozipa taratibu na viongozi wa utaratibu hizi za za ibada. Ishu ni Imani kuwa Mungu yupo ama laa!!
Halafu asiyeamini uwepo wa Mungu Muumbaji wa Mbingu na nchi halafu akaamini waganga na uwepo wa wachawi tutamweka ktkt kundi la Wajinga na wanafiki wa kupindukia maana ni mithili ya watu wanaokataa kuwa hakuna moto halafu wanaamini uwepo wa majivu!!!
Mimi nikiwajua nitawashangaa kwa kiingereza[emoji32] [emoji32] [emoji32] !!!!
Ni kweli sina dini ila nina Mungu

Msingi wa dini ni ibada za wafu

dini ni tegemeo la watu wapumbavu na wajinga,

Mungu ni tegemeo la watu wenye busara, hekima na maarifa
 
Ni kweli sina dini ila nina Mungu

Msingi wa dini ni ibada za wafu

dini ni tegemeo la watu wapumbavu na wajinga,

Mungu ni tegemeo la watu wenye busara, hekima na maarifa
Kuna ulimwengu wa roho na kuna ulimwengu wa mwili.
Kabla mambo hayajajitokeza katika ulimwengu wa mwili yanaanza kwanza katika ulimwengu wa roho.
Chochote kile unachokiona kizuri au kibaya katika ulimwengu wa mwili kina chanzo chake kwenye ulimwengu wa roho wa Mungu au wa shetani.

Natumain nimekujib vizur mkuu.
 
Kwa muktadha huu, je mgonjwa akiongezewa damu aweza kupata madhara mfano wa hayo kwa sababu ya kushare hiyo damu!
 
nilikuuliza, narudia tena

Ulimwengu wa roho ni upi?

na

Ulimwengu wa Mwili ni upi? nijibu halafu tusonge mbele
 
Kuna kaukweli fulani hapa kwa kuwa kuna movie inaitwa IT FOLLOWS naelezea haka kauzi vizuri 2 ss ngoja tuwasuri wajuaji kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…