Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
To a takwimu SGR ya Kenya inaingiza kiasi gani kwa muda gani halafu BRT inaingiza kiasi gani vinginevyo hamna atakayeamini kauli yako. Sweeping statement zinakushushia heshima na kuonekana mpiga debe Wa upande Fulani. Nadhani watu wajifunze kusumbua akili kwa kutafuta vyanzo mbalimbali ili Uzi use na Mantiki vinginevyo utaonekana kituko na watu hawatavutiwa na wazo lako.Brt inaingiza pesa nyingi karibu mara 10 kwa siku kuliko sgr nzima ya Kenya.
wewe itakua ni mwendawazimu...kauli hii ni ya kipumbavu sana hata mtoto mdogo atakuona limbukeniBrt inaingiza pesa nyingi karibu mara 10 kwa siku kuliko sgr nzima ya Kenya.
Acha kupanic Twende kwa kutumia hesabuwewe itakua ni mwendawazimu...kauli hii ni ya kipumbavu sana hata mtoto mdogo atakuona limbukeni
Dose kubwa kuliko [emoji1] ... Ata sgr yetu ikifika Mwanza ita lipa vizuri sana i am 100% sure. Ata kigamboni bridge wali beza mwanzo ila sasa NSSF is smiling all the way to the bank.Acha kupanic Twende kwa kutumia hesabu
1)Kenya SGR inabeba abiria 1200 kwa siku, econy nauli ni Shs 700 pp, ambao ni 80% ya abiria wote, daraja la kwanza ni shs 3000pp, ambao ni 20% ya abiria wote.
Tukichukua wastani wa 1000pp, tunapata
1200 * 1000 = 1200000 Kshs per day
= $11,650
Tanzania BRT kwa siku inasafirisha watu 200,000,. nauli ni 650 pp
200000 * 650 = 120000000 Tshs per day
=$57,778
Ratio = 5:1
BRT gets five times than Kenya Madaraka express
Sgr ina trip 4 kwa siku 2 express and 2 intercounty and then kuna mizigoAcha kupanic Twende kwa kutumia hesabu
1)Kenya SGR inabeba abiria 1200 kwa siku, econy nauli ni Shs 700 pp, ambao ni 80% ya abiria wote, daraja la kwanza ni shs 3000pp, ambao ni 20% ya abiria wote.
Tukichukua wastani wa 1000pp, tunapata
1200 * 1000 = 1200000 Kshs per day
= $11,650
Tanzania BRT kwa siku inasafirisha watu 200,000,. nauli ni 650 pp
200000 * 650 = 120000000 Tshs per day
=$57,778
Ratio = 5:1
BRT gets five times than Kenya Madaraka express
Bahati mbaya sana huku kwetu hatutumii miraa, kwahiyo akili zetu ni timamu muda wote, tunaomba ushahidi kwa lile unalosema, tupigie hesabu za kueleweka tuone kipato kinachopatikana kwa sikuSgr ina trip 4 kwa siku 2 express and 2 intercounty and then kuna mizigo
We jamaa mbna unapenda kukurupuka....hio 7000 ilkua kabla ya launch of intercounty train ambayo inasimama kwa kila intermediate station.kila siku moja inatoka from Nairobi to Mombasa na nyingine inasonga from Mombasa to Nairobi.... Then kuna express train ambayo inafanya express from Mombasa to Nairobi and vice versa that's 4 trains per day hii ni information unaeza ipata kwa page ya Kenya railwaysBahati mbaya sana huku kwetu hatutumii miraa, kwahiyo akili zetu ni timamu muda wote, tunaomba ushahidi kwa lile unalosema, tupigie hesabu za kueleweka tuone kipato kinachopatikana kwa siku
Madaraka Express carries 7,000 passengers a week after launch - Capital Business
Kama huwezi kutuletea ushahidi kama nilivyofanya, ili tuweze kujua idadi kamili ya abiria kwa siku, kisha tufanye hesabu tujue kipato kinachopatikana kwa kila siku kama nilivyofanya hapo juu, hayo maneno yako yataendelea kuwa uongo yenye lengo la kuficha ukweli na aibu kutokana na kushindwa kwa SGR na BRT. Hadi hapo utakapoleta evidences, it will remain 5:1 [emoji23] [emoji23] [emoji23]We jamaa mbna unapenda kukurupuka....hio 7000 ilkua kabla ya launch of intercounty train ambayo inasimama kwa kila intermediate station.kila siku moja inatoka from Nairobi to Mombasa na nyingine inasonga from Mombasa to Nairobi.... Then kuna express train ambayo inafanya express from Mombasa to Nairobi and vice versa that's 4 trains per day hii ni information unaeza ipata kwa page ya Kenya railways
SGR ya Tanzania nayo inabeba 95% of its daily cargo capacity! ππππππ
Picha ya SGR ya Tz plz...SGR ya Tanzania nayo inabeba 95% of its daily cargo capacity! ππππππ
Mnajuta kuijua JFFinish the foundation of SGR TZ first.... rudi Tanzania thread
huwezi kuwa sawa kiakili, maana tangu uko tumboni unatafuna miraa kupitia mjamzito.
Wewe eliakeem, mkuu Lewis254 anangoja kapicha bana. Acha kunitolea frasitreshen zako, afu sijakuelewa hapo sijui kupitia mjamzito unamaanisha nini? Kapicha kamoja tu tafadhali. Shukran in advance.Picha ya SGR ya Tz plz...
Picha ya SGR ya Tz plz...