SGR between Nairobi and Mombasa is carrying only 15% of its daily cargo capacity

SGR between Nairobi and Mombasa is carrying only 15% of its daily cargo capacity

Brt inaingiza pesa nyingi karibu mara 10 kwa siku kuliko sgr nzima ya Kenya.
To a takwimu SGR ya Kenya inaingiza kiasi gani kwa muda gani halafu BRT inaingiza kiasi gani vinginevyo hamna atakayeamini kauli yako. Sweeping statement zinakushushia heshima na kuonekana mpiga debe Wa upande Fulani. Nadhani watu wajifunze kusumbua akili kwa kutafuta vyanzo mbalimbali ili Uzi use na Mantiki vinginevyo utaonekana kituko na watu hawatavutiwa na wazo lako.
 
wewe itakua ni mwendawazimu...kauli hii ni ya kipumbavu sana hata mtoto mdogo atakuona limbukeni
Acha kupanic Twende kwa kutumia hesabu
1)Kenya SGR inabeba abiria 1200 kwa siku, econy nauli ni Shs 700 pp, ambao ni 80% ya abiria wote, daraja la kwanza ni shs 3000pp, ambao ni 20% ya abiria wote.

Tukichukua wastani wa 1000pp, tunapata
1200 * 1000 = 1200000 Kshs per day
= $11,650

Tanzania BRT kwa siku inasafirisha watu 200,000,. nauli ni 650 pp

200000 * 650 = 120000000 Tshs per day
=$57,778

Ratio = 5:1

BRT gets five times than Kenya Madaraka express
 
Dose kubwa kuliko [emoji1] ... Ata sgr yetu ikifika Mwanza ita lipa vizuri sana i am 100% sure. Ata kigamboni bridge wali beza mwanzo ila sasa NSSF is smiling all the way to the bank.
 
Acha kupanic Twende kwa kutumia hesabu
1)Kenya SGR inabeba abiria 1200 kwa siku, econy nauli ni Shs 700 pp, ambao ni 80% ya abiria wote, daraja la kwanza ni shs 3000pp, ambao ni 20% ya abiria wote.

Tukichukua wastani wa 1000pp, tunapata
1200 * 1000 = 1200000 Kshs per day
= $11,650

Tanzania BRT kwa siku inasafirisha watu 200,000,. nauli ni 650 pp

200000 * 650 = 120000000 Tshs per day
=$57,778

Ratio = 5:1

BRT gets five times than Kenya Madaraka express
Sgr ina trip 4 kwa siku 2 express and 2 intercounty and then kuna mizigo
 
Bahati mbaya sana huku kwetu hatutumii miraa, kwahiyo akili zetu ni timamu muda wote, tunaomba ushahidi kwa lile unalosema, tupigie hesabu za kueleweka tuone kipato kinachopatikana kwa siku
Madaraka Express carries 7,000 passengers a week after launch - Capital Business
We jamaa mbna unapenda kukurupuka....hio 7000 ilkua kabla ya launch of intercounty train ambayo inasimama kwa kila intermediate station.kila siku moja inatoka from Nairobi to Mombasa na nyingine inasonga from Mombasa to Nairobi.... Then kuna express train ambayo inafanya express from Mombasa to Nairobi and vice versa that's 4 trains per day hii ni information unaeza ipata kwa page ya Kenya railways
 
Kama huwezi kutuletea ushahidi kama nilivyofanya, ili tuweze kujua idadi kamili ya abiria kwa siku, kisha tufanye hesabu tujue kipato kinachopatikana kwa kila siku kama nilivyofanya hapo juu, hayo maneno yako yataendelea kuwa uongo yenye lengo la kuficha ukweli na aibu kutokana na kushindwa kwa SGR na BRT. Hadi hapo utakapoleta evidences, it will remain 5:1 [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ningekuwa Mimi ningejibu KUWA we will deploy an aggressive marketing strategy so as to fully (100%) conquer the market and break the even point.
lkn siyo kubishia tu kama bulukenge.
 
SGR ya Tanzania nayo inabeba 95% of its daily cargo capacity! 😀😀😀😀😀😀
 
Finish the foundation of SGR TZ first.... rudi Tanzania thread
 
Build your SGR first..then talk.. not just talk talk talk and 0 actions
 
Back
Top Bottom