game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Hahahahaha,Acha kupanic Twende kwa kutumia hesabu
1)Kenya SGR inabeba abiria 1200 kwa siku, econy nauli ni Shs 700 pp, ambao ni 80% ya abiria wote, daraja la kwanza ni shs 3000pp, ambao ni 20% ya abiria wote.
Tukichukua wastani wa 1000pp, tunapata
1200 * 1000 = 1200000 Kshs per day
= $11,650
Tanzania BRT kwa siku inasafirisha watu 200,000,. nauli ni 650 pp
200000 * 650 = 120000000 Tshs per day
=$57,778
Ratio = 5:1
BRT gets five times than Kenya Madaraka express