SGR between Nairobi and Mombasa is carrying only 15% of its daily cargo capacity

SGR between Nairobi and Mombasa is carrying only 15% of its daily cargo capacity

Acha kupanic Twende kwa kutumia hesabu
1)Kenya SGR inabeba abiria 1200 kwa siku, econy nauli ni Shs 700 pp, ambao ni 80% ya abiria wote, daraja la kwanza ni shs 3000pp, ambao ni 20% ya abiria wote.

Tukichukua wastani wa 1000pp, tunapata
1200 * 1000 = 1200000 Kshs per day
= $11,650

Tanzania BRT kwa siku inasafirisha watu 200,000,. nauli ni 650 pp

200000 * 650 = 120000000 Tshs per day
=$57,778

Ratio = 5:1

BRT gets five times than Kenya Madaraka express
Hahahahaha,
 
Wewe eliakeem, mkuu Lewis254 anangoja kapicha bana. Acha kunitolea frasitreshen zako, afu sijakuelewa hapo sijui kupitia mjamzito unamaanisha nini? Kapicha kamoja tu tafadhali. Shukran in advance.
ab708ccb56273591dac81af862dcc707.jpg
 
Back
Top Bottom