Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #481
of course why not first high speed electrical SGR in EAC! U will have to visit Dar n see the how the real thing looks in Africa! Lazma niku-tag!Wewe unajua Kenya tuna Sgr na nyinyi hamna. Ile siku Sgr yenu itakamilika sisi hatutapumua humu kwa makelele na unyende mtakayo piga. Unaringa na bado progress ni 35%. Sipati picha mradi ukikamilika, dunia itasimama wengine wetu tushuke ili tuwape nafasi ya kusherehekea.
hatupo hivyo sisi si kama kenya......Wewe unajua Kenya tuna Sgr na nyinyi hamna. Ile siku Sgr yenu itakamilika sisi hatutapumua humu kwa makelele na unyende mtakayo piga. Unaringa na bado progress ni 35%. Sipati picha mradi ukikamilika, dunia itasimama wengine wetu tushuke ili tuwape nafasi ya kusherehekea.
hehe, mmeshapitisha rekodi ya kenya, Yenu haina hata picha za maana na tayari Thread imefika page 25, si mtapitisha 200 pages mkimaliza kujenga madaraja?hatupo hivyo sisi si kama kenya......
hizo page nyingine ni zenu zakuuliza uliza nakupinga vitu vyakijinga.......hehe, mmeshapitisha rekodi ya kenya, Yenu haina hata picha za maana na tayari Thread imefika page 25, si mtapitisha 200 pages mkimaliza kujenga madaraja?
pitia hapa uangalie vile mlikua mnajaza kurasa za SGR kenya na povu, sisi tuna afadhalihizo page nyingine ni zenu zakuuliza uliza nakupinga vitu vyakijinga.......
Kwanini mnapenda sana picha!! BTW unaeza ukachukua schreenshot from a playing video then ukajibamba mweneyewehehe, mmeshapitisha rekodi ya kenya, Yenu haina hata picha za maana na tayari Thread imefika page 25, si mtapitisha 200 pages mkimaliza kujenga madaraja?
Angalia original thread ya Kenya SGR, yote ilikua na kurasa 31 pekee, nyinyi mmeshafika kurasa 25 bila picha!
Kenya: The Standard Gauge Railway Takes Shape
hatunaga mbwembwe zakijinga,,,,,,jua hivyopitia hapa uangalie vile mlikua mnajaza kurasa za SGR kenya na povu, sisi tuna afadhali
Kenya: The Standard Gauge Railway Takes Shape
Niwe kijakazi wa tigo kama wewe? La hasha Mimi nimenyooka kama Ruler.Umekula lakini??😀😀 Kingereza hakijakusaidia kupata ajila! Kubali uwekijakazi kama YoungD😀😀
SAfi sana sio picha tu kama wanavyodai jamaa,pia Elimu inatolewa kujua kinachojri site,sijaona sura ya mzungu hapo kama ilivyo kwa jirani mchina amejaa kama upupu.
ndio maana miaka miwili baadae ni pillar kadhaa tu ndo zimechimbwa.... kila siku ni video za propaganda tu...SAfi sana sio picha tu kama wanavyodai jamaa,pia Elimu inatolewa kujua kinachojri site,sijaona sura ya mzungu hapo kama ilivyo kwa jirani mchina amejaa kama upupu.
Kwanini mnapenda sana picha!! BTW unaeza ukachukua schreenshot from a playing video then ukajibamba mweneyewe
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
SGR progress
Ata wewe huna la maanaAta hio video haina cha maana.
Angalia ulivyomshamba hii SGR si mchina made! Hilo ni tuta pana likiwa na nafasi ya reli mbili!Wewe wacha mchezo. Tunataka picha za reli si barabara.
Tuta pana likiwa na nafasi ya reli tano, KenyaAngalia ulivyomshamba hii SGR si mchina made! Hilo ni tuta pana likiwa na nafasi ya reli mbili!