SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Tunapenda amani hapa kwetu hamkawii kushikana uchawi huko na tumechoka wakimbizi tunahitaji twende mbele,hiyo sgr ni bomu muda ndio utasema ukweli.
TAFADHALI.. Zingatia mada
 
Utangoja hiyo taabu hadi ufe wewe mwenyewe
Kabla ya kufa mimi tutaona mengi kwenye hiyo sgr ya mchina kabla masanduku hayajapishana mitaani itakayosababishwa na reli isiyo na kiwango ila ushauri toeni vile vijiti wachina walivyoweka wakidai nondo na kujenga kwa mkopo isisababishe miubongo yenu igande mshindwe kuhoji vitu vidogo hiyo reli inabeba roho za watu.
 
Bla Blah Blaaah
 
Bla Blah Blaaah
sawasawa muda ndio msema kweli,yale mliyokuwa mnasema blah blah kwa bongo kuwa na sgr basi fuatilia hapa na sasa tupo 20% ya ujenzi pesa sio shida ila ni shughuli za kiutaalamu na mwezi wa 9 tunaanza kulaza reli mpaka 2020 phase 1 treni ipo juu,tumeamua na tunatekeleza na hstujakopa mtu na kama ulikariri umeme shida stiglers imeshaanza 2100MW,weka kumbukumbu sawa dreamliner nyingine mwakani inaingia usisahau pia CS 300 nov. tunaipokea,narudia tumeamua na tutaenda.MTAPATA TAABU SANA.
 
Hayo yote uliyotaja KENYA tushafanya na tushazoea. Ni vipi milele na kawaida mpo nyuma ya Kenya na waKenya kiujumla? Hebu jiulize na utafakari.

Apana ringia mKenya. Most probably kile unachoringa nayo, waKenya walisha-Experience ages and ages ago.

Ila, hongereni kwa SGR, itauinua uchumi wenu ukishamalizika
 
Nashukuru kwa kukubali ukweli hata sisi ilikuwa maneno mengi kuliko vitendo sasa tumeamua nchi itakwenda tu,msimamizi yupo na tutamlinda kwa nguvu zote anyooshe nchi,kabla haujachelewa cheki itv saruji imeadimika kwetu hapa sgr inamaliza cement hivyo mjipange mkuu.
 
Hivi ni kweli unaona jirani yako anaibiwa kwa nini unyamaze? Wabongo hatuna roho za kichawi mchina amewafanya vby roho zinauma reli haieleweki sehemu za kuweka nondo kaweka vijiti mfano wa nondo maana tunajua madhara yake hatupendi kuanza mambo ya salamu za pole gharama za ujenzi mpigwe,mpate taaabu sana weeeee kwa miaka 50 ndio mkabidhiwe hizo treni za makaa ya mawe,na rambirambi juu si nzuri sana muamke sasa.
Hapo mkuu umenena umempa ukweli
 
Train si ya makaa ya mawe, ni ya diesel. Waafrika kuelewa kwao ni shida. Pili train haitumii teknolojia ya kitambo bali ni standard gauge . Siku nyingine usiwahi tena fungua kinywa chako kama akili bado imelala, madhara ni eti unaishia kuandika upuzi kama huu
 
Bora tu unyamaze sababu reli yenu ni takataka tupu na project nzima ni kituko

Hivi chinese walishaacha importation of building cement for your sgr from home China 🇨🇳??
Unajua nyinyi hamna standard gauge railway? Wewe ni kama mjinga fulani anayeagiza gari mpya ya Petrol kutoka Japan halafu unamcheka jirani yako ambaye tayari ana gari hata kama ni ya diesel. Wewe usiyekuwa na gari, ngoja hadi hiyo uliyoagiza iwasili ndio uanze kuita hiyo ya jirani yako "takataka". Nyinyi msiokuwa na standard gauge railway hamna uwezo wala haki ya kuita reli ya Kenya "takataka" ilhali nyinyi hamna reli hio. Makamasi iliyojaa ndani ya ubongo wako Redeemer, ikamue hadi ikwishe.
 
Kwa dunia ya kileo utengeneze sgr halafu iwe ya diesel umefanya nini sasa hapo ubongo hauna ushirikiano ni heri kutokuwa nayo tu mjue baada ya miaka mitatu hiyo sgr abiria wanaotumia usafiri huo na wakazi walio jirani na reli wote TB tupu,tunaelewa sio matakwa yenu kuingizwa choo cha jinsia mbili poleni,SGR yetu haina ujanjaujanja 2020 dar-moro isipoisha lete porojo hatujengi kwasababu kenya ipo na wala tunajenga kwasababu wakati umefika na lazima tuwe nayo iliyo ktk usasa(umeme),tupo 20% ya ujenzi mkuu na kufikia mwishoni mwa mwaka itafika 40 au 50 tutakuwa tumeshalaza reli kwahiyo tegemeeni kupata taaabu sana heri ufe kuliko kuja kuona yale usiyoyapenda kwa TZ wakifanya kwa pesa yao wenyewe muda mfupi ujao.
 
Unajua nyinyi hamna standard gauge railway? Wewe ni kama mjinga fulani anayeagiza gari mpya ya Petrol kutoka Japan halafu unamcheka jirani yako ambaye tayari ana gari hata kama ni ya diesel. Wewe usiyekuwa na gari, ngoja hadi hiyo uliyoagiza iwasili ndio uanze kuita hiyo ya jirani yako "takataka". Nyinyi msiokuwa na standard gauge railway hamna uwezo wala haki ya kuita reli ya Kenya "takataka" ilhali nyinyi hamna reli hio. Makamasi iliyojaa ndani ya ubongo wako Redeemer, ikamue hadi ikwishe.
Ni masikitiko makubwa kupindukia kwa namna mchina anavyowakatili kwenye hii sgr

Of course not everyone agrees that this was the most economically sensible solution.

Cost comparisons have been made between this line and Ethiopia's 756km Addis Ababa-Djibouti line launched recently

Both are Standard Gauge Railway (SGR) projects financed by Chinese loans, costing $3.4bn for Ethiopia 🇪🇹 and $3.2bn for Kenya 🇰🇪.

Ethiopia's line is more than 250km longer and is electrified, which is typically more expensive; trains running on Kenya's line is diesel-powered with 1960s fashioned locomotives 🚂

Very sad 😔 indeed
 
Unajua nyinyi hamna standard gauge railway? Wewe ni kama mjinga fulani anayeagiza gari mpya ya Petrol kutoka Japan halafu unamcheka jirani yako ambaye tayari ana gari hata kama ni ya diesel. Wewe usiyekuwa na gari, ngoja hadi hiyo uliyoagiza iwasili ndio uanze kuita hiyo ya jirani yako "takataka". Nyinyi msiokuwa na standard gauge railway hamna uwezo wala haki ya kuita reli ya Kenya "takataka" ilhali nyinyi hamna reli hio. Makamasi iliyojaa ndani ya ubongo wako Redeemer, ikamue hadi ikwishe.
Tell me a difference btn Kenya's SGR n Tanzania's narrow gauge railway (NGR) if ours move at 70 km/h in comparison to Kenya's 80km/h!
 
Ni masikitiko makubwa kupindukia kwa namna mchina anavyowakatili kwenye hii sgr

Of course not everyone agrees that this was the most economically sensible solution.

Cost comparisons have been made between this line and Ethiopia's 756km Addis Ababa-Djibouti line launched recently

Both are Standard Gauge Railway (SGR) projects financed by Chinese loans, costing $3.4bn for Ethiopia [emoji1098] and $3.2bn for Kenya [emoji1139].

Ethiopia's line is more than 250km longer and is electrified, which is typically more expensive; trains running on Kenya's line is diesel-powered with 1960s fashioned locomotives [emoji577]

Very sad [emoji17] indeed
[emoji577] [emoji577] [emoji577] [emoji577] [emoji577] [emoji577] [emoji577] [emoji577] maneno kuntu na yanauma sana mkuu ila hakuna kitu kibaya kama mwanaume mwenzio akakufanya vibaya(mchina kwenye sgr ya kenya)
 
😁 😁 😁 😁 acha tu Uhuru keshawaloga sababu sio kwa ujambazi huu
 
Back
Top Bottom