Acha ushamba Kaka kumbuka kuna kitu kinaitwa mobilisation ambayo kimkataba ni miez sita hiyo ikiwemo kupata wafanyakazi na kukusanya vifaa ujenz WA kambi, ulipaj WA fidia na kubomoa n.k hapo ujenz haupo na hii project ni design and build Hivo kwa tafsiri yako basi Mrad umeenda Kwa kasi Sana....isitoshe kazi kubwa ktk ujenz WA reli tuta na madaraja baada ya hapo ni mtelezo tu16% after a year,
100% itafika after 6yrs.