Acha ushamba Kaka kumbuka kuna kitu kinaitwa mobilisation ambayo kimkataba ni miez sita hiyo ikiwemo kupata wafanyakazi na kukusanya vifaa ujenz WA kambi, ulipaj WA fidia na kubomoa n.k hapo ujenz haupo na hii project ni design and build Hivo kwa tafsiri yako basi Mrad umeenda Kwa kasi Sana....isitoshe kazi kubwa ktk ujenz WA reli tuta na madaraja baada ya hapo ni mtelezo tu16% after a year,
100% itafika after 6yrs.
Hajui huyo ni mshambaAcha ushamba Kaka kumbuka kuna kitu kinaitwa mobilisation ambayo kimkataba ni miez sita hiyo ikiwemo kupata wafanyakazi na kukusanya vifaa ujenz WA kambi, ulipaj WA fidia na kubomoa n.k hapo ujenz haupo na hii project ni design and build Hivo kwa tafsiri yako basi Mrad umeenda Kwa kasi Sana....isitoshe kazi kubwa ktk ujenz WA reli tuta na madaraja baada ya hapo ni mtelezo tu
kule LDC Kunyaland ni mwendo kichinachina waAcha ushamba Kaka kumbuka kuna kitu kinaitwa mobilisation ambayo kimkataba ni miez sita hiyo ikiwemo kupata wafanyakazi na kukusanya vifaa ujenz WA kambi, ulipaj WA fidia na kubomoa n.k hapo ujenz haupo na hii project ni design and build Hivo kwa tafsiri yako basi Mrad umeenda Kwa kasi Sana....isitoshe kazi kubwa ktk ujenz WA reli tuta na madaraja baada ya hapo ni mtelezo tu
Hebu ungevihamisha kule nyuma vile vinondo tuweze kwenda sawa 9mm ukapitishe mzigo? na wenyewe humu ndani wanajisifu ujinga kabisa sijapata wahi ona viumbe wa ajabu kama hawa gharama wamepigwa na bada kilichotengenezwa chini ya kiwango ni msiba mzito kwa kweli siku wakijagundua lzm tupate wahamiaji kwetu.Wakenya mumebamizwa hela nyingi kwenye SGR ambayo ni old version na hiyo old version ynyewe imechakachuliwa...wachina wameamua kuitumia kenya kama experimental testing kama vinondo vya 9mm vinaweza kusimamisha nguzo...ur lives are hanging by the thread
Tutegemee yakusikitisha baada ya kipindi kadhAa kutoka kwenye sgr ya kenya kama madaraja. Kuanguka n.kWakenya mumebamizwa hela nyingi kwenye SGR ambayo ni old version na hiyo old version ynyewe imechakachuliwa...wachina wameamua kuitumia kenya kama experimental testing kama vinondo vya 9mm vinaweza kusimamisha nguzo...ur lives are hanging by the thread
Naona manyumbu ya kenya kimya sasa washaelewa somo dozi inawakolea vzr sasa kwa mavideo na mapichapicha.7 Aug 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania
Yapi Merkezi Tanzania, Standard Gauge Railway Line From Dar Es Salaam to Morogoro Project-JULY2018
Source: Yapi Merkezi SGR Construction project
Tunashukuru kama mmegundua kama inajengwa na iliyo bora waambie na wenzako,nadhani na ubora uliyopo kwenye reli yetu utasaidia kuiboresha yenu mliyoibiwa na wachina.Malizeni kujenga reli kwanza. Wacheni domo domo
Ungemjibu apambane na hali yakeHii kasi ya ajabu na jeuri ya namna hii Watanzania wameipata wapi,alikuwa anauliza rafiki yangu mmoja toka Kenyaπ³π³π³
Yah kidogo angalauMorogoro-Makutupora looks very flat. Work will be much faster