SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Hivi contractor wa kipande cha isaka to kigali anatangazwa lini? Bcoz October ya ground breaking ceremony ndo hiyo inakuja au watapeleka mbele??
 
Hivi contractor wa kipande cha isaka to kigali anatangazwa lini? Bcoz October ya ground breaking ceremony ndo hiyo inakuja au watapeleka mbele??
Come that day and i will treat myself with a bottle of wine. I have intrest with that route
 
Naona Mapicha picha na Mavideo ya Progress Report yamekimbiza watu kwenye huu Uzi.
 
Je wajua litakuwa na intesections zinazoenda all the way to Dar port for the cargo line na litaunganishwa na berths current being expanded at Dar port? Ficha upumbavu tafadhali kaa chini ushuhudie state of the art facilities U/C!
Daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…