SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Construction in Tanzania - UPDATES

maximum ni 158km/hr but operating speed inachezea averagely 120km/hr.......sasa nataka kujua hizi kelele zote kutoka kwa watanzania huwa za nini kama train yenyu itafanya max 160km/hr, obvious haiezi operate with max speed
Heheheh cheko lako hilo kufananisha kifo na usingizi.

Utasubiri sana tufanane
 
Kweli kulinganisha SGR ya Kenya na Tz ni upumbavu tu. Moja tayari inabeba abiria na mizigo wakati nyingine ipo kwenye vijikaratasi tu na kwenye kichwa cha mfalme wa Chato.
Hakuhusu wakenya mnawashwa sana na JPM hivi kwa nini lakini mnahangaika na mtu ambae hajui hata kama kuna dampo linaitwa Kenya in this whole world?
 
Hakuhusu wakenya mnawashwa sana na JPM hivi kwa nini lakini mnahangaika na mtu ambae hajui hata kama kuna dampo linaitwa Kenya in this whole world?
Kweli kabisa atajuaje kuhusu Kenya wakati Kenya ipo kwenye sayari nyingine jombaa. Yeye anajua tu kuhusu nchi kama za kina Gaddafi wa kule Yemen. 😀😀😀
 
With my esteem pleasure n reserved demeanor since many Kenyans have turned to be "doubting Thomases" on Tanzania's capability to undertake the project especially on whether phase I n II of 5 phases are currently U/C, i have chosen to open up this thread to just give you people an insight of what is happening on day and night to make sure the line gets to Mwanza and of course to Isaka, Bujumbura n Kampala.

MY TAKE:
Sharing is caring...

From the video, one guy says that they will order 50 double stack trolleys.... How will this work with electrified line, considering the cables above?
 
Muda simrefu M7 anaitwa Dar kukubaliana ujenzi wa SGR to Kampala. Yaani Kenya kwa Roho zenu zilivyo mbaya msipo pata Pressure mwaka huu basi hamtaugua tena huo ugonjwa.
Kwa taarifa yako Museveni safarini marekani kumpongeza Trump Kwa kauli yake nzito iliyosheheni ukweli kuhusu Afrika.
 
From the video, one guy says that they will order 50 double stack trolleys.... How will this work with electrified line, considering the cables above?
Ata mimi nilijiuliza hilo swali, nikaingia google, i was happy to find out it is very possible tena trolleys zake zinakua kubwa zina beba mpaka 40 feet siyo ndogo kama hizo za Kenya nilizoziona kwenye picha. Nikipata ile link nitakutmia baadae niki tulia
 
From the video, one guy says that they will order 50 double stack trolleys.... How will this work with electrified line, considering the cables above?
who told u double stack wagons can't operate on electrical SGR?
 
Iam looking for evidence that it operates
1516860980141.jpg
1516860988936.jpg
1516861002131.jpg
1516861024491.jpg
Hizo ni za Turkey, Wajenzi wetu.
 
Muda simrefu M7 anaitwa Dar kukubaliana ujenzi wa SGR to Kampala. Yaani Kenya kwa Roho zenu zilivyo mbaya msipo pata Pressure mwaka huu basi hamtaugua tena huo ugonjwa.
[emoji23][emoji23]daah
 
Haya......tupeni picha tuone. line ishatoka Dar mjini ama bado? I'm waiting for photos of your wonderful stations and downloaded photos of monorails elsewhere that some of you believe are actually what they call SGR and that they are what you'll actually get in the long run.
 
Back
Top Bottom