wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
Uhuru nae soon anatia mguu dar kusaini SGR ya mwanza to kisumu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jpm hawezi kufanya upuuzi huuUhuru nae soon anatia mguu dar kusaini SGR ya mwanza to kisumu!
Haha, aje tu tunamgonja.Uhuru nae soon anatia mguu dar kusaini SGR ya mwanza to kisumu!
Heheheh cheko lako hilo kufananisha kifo na usingizi.maximum ni 158km/hr but operating speed inachezea averagely 120km/hr.......sasa nataka kujua hizi kelele zote kutoka kwa watanzania huwa za nini kama train yenyu itafanya max 160km/hr, obvious haiezi operate with max speed
Hakuhusu wakenya mnawashwa sana na JPM hivi kwa nini lakini mnahangaika na mtu ambae hajui hata kama kuna dampo linaitwa Kenya in this whole world?Kweli kulinganisha SGR ya Kenya na Tz ni upumbavu tu. Moja tayari inabeba abiria na mizigo wakati nyingine ipo kwenye vijikaratasi tu na kwenye kichwa cha mfalme wa Chato.
Kweli kabisa atajuaje kuhusu Kenya wakati Kenya ipo kwenye sayari nyingine jombaa. Yeye anajua tu kuhusu nchi kama za kina Gaddafi wa kule Yemen. 😀😀😀Hakuhusu wakenya mnawashwa sana na JPM hivi kwa nini lakini mnahangaika na mtu ambae hajui hata kama kuna dampo linaitwa Kenya in this whole world?
Hakuhusu wakenya mnawashwa sana na JPM hivi kwa nini lakini mnahangaika na mtu ambae hajui hata kama kuna dampo linaitwa Kenya in this whole world?
With my esteem pleasure n reserved demeanor since many Kenyans have turned to be "doubting Thomases" on Tanzania's capability to undertake the project especially on whether phase I n II of 5 phases are currently U/C, i have chosen to open up this thread to just give you people an insight of what is happening on day and night to make sure the line gets to Mwanza and of course to Isaka, Bujumbura n Kampala.
MY TAKE:
Sharing is caring...
Kwa taarifa yako Museveni safarini marekani kumpongeza Trump Kwa kauli yake nzito iliyosheheni ukweli kuhusu Afrika.Muda simrefu M7 anaitwa Dar kukubaliana ujenzi wa SGR to Kampala. Yaani Kenya kwa Roho zenu zilivyo mbaya msipo pata Pressure mwaka huu basi hamtaugua tena huo ugonjwa.
Ata mimi nilijiuliza hilo swali, nikaingia google, i was happy to find out it is very possible tena trolleys zake zinakua kubwa zina beba mpaka 40 feet siyo ndogo kama hizo za Kenya nilizoziona kwenye picha. Nikipata ile link nitakutmia baadae niki tuliaFrom the video, one guy says that they will order 50 double stack trolleys.... How will this work with electrified line, considering the cables above?
who told u double stack wagons can't operate on electrical SGR?From the video, one guy says that they will order 50 double stack trolleys.... How will this work with electrified line, considering the cables above?
who told u double stack wagons can't operate on electrical SGR?
Iam looking for evidence that it operates
Hehehe, acha hizo jirani ni mjadala tu wala hamna presha yeyote ile. Naheshimu sana no-nonsense style ya JPM.huyu pingli-nywee muache alivyo tu. kama humfahamu subiri.
Yap 12 lanes hapa Nairobi.Sawa kwa akili zako zakuvuka barabara
[emoji23][emoji23]daahMuda simrefu M7 anaitwa Dar kukubaliana ujenzi wa SGR to Kampala. Yaani Kenya kwa Roho zenu zilivyo mbaya msipo pata Pressure mwaka huu basi hamtaugua tena huo ugonjwa.