Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Serikali itaanza kufikiria mambo ya umeme pindi tu ujenzi wa reli utakapo kamilika. Usiwe na wasiwasi. Reli itakapokamilika, watanzania mutangoja miaka mingine miwili kwa ajili ya ujenzi wa stiggler's gorge kukamilika.Hivi upande wa umeme wamejipangaje ?