Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,039
- 11,822
hakika SGR yao ni jipuTreni imesha anguka uko Kibarani Mombasa, hii ni mara pili! Hii SGR ya Kenya ni hatari kwa afya ya binadamu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakika SGR yao ni jipuTreni imesha anguka uko Kibarani Mombasa, hii ni mara pili! Hii SGR ya Kenya ni hatari kwa afya ya binadamu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kibaya zaidi ata sababu ya kuanguka haijulikani!?hakika SGR yao ni jipu
halafu wanatulazimisha na sisi tujenge haraka haraka kama yao..!!yaani wachina wamewajengea sgr haraka haraka wamelipua lipua yaani bora liende tuu!!!na juzi hapa imetoka ripoti mmekula losi bil 10..kwa style hiyo!!hadi wachina warudishe hela zao hiyo treni mtaachiwa mzoga kudadeki!!!Treni imesha anguka uko Kibarani Mombasa, hii ni mara pili! Hii SGR ya Kenya ni hatari kwa afya ya binadamu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nilikua nataka niwaache muendelee kukaa kama wajinga..lakini wacha niwasaidie kidogo... hebu nionyeshe ni wapi treni ya SGR ishawahi anguka... huu ushamba mpunguze jameniTreni imesha anguka uko Kibarani Mombasa, hii ni mara pili! Hii SGR ya Kenya ni hatari kwa afya ya binadamu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kenya.Nilikua nataka niwaache muendelee kukaa kama wajinga..lakini wacha niwasaidie kidogo... hebu nionyeshe ni wapi treni ya SGR ishawahi anguka... huu ushamba mpunguze jameni
wind blows a beam away..huuuhuu!!wachina bhana...!!Idiots leta hapa evidence ni sgr imeanguka, u wish wamama nyinyi
wachina watawaachia mzoga wakirudusha hela yao..Nilikua nataka niwaache muendelee kukaa kama wajinga..lakini wacha niwasaidie kidogo... hebu nionyeshe ni wapi treni ya SGR ishawahi anguka... huu ushamba mpunguze jameni
asante kwakuja mwanamakadilio......[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]16% after a year,
100% itafika after 6yrs.
Hii si Mchina product inayomeguka yenyewe! Sit back uone utandazaji wa reli ukianza September!16% after a year,
100% itafika after 6yrs.
16% after a year,
100% itafika after 6yrs.
16% after a year,
100% itafika after 6yrs.
You are misinformed...mjinga wa tz..mbona unaspread fake news...bangi mingi kwa akili yakoTreni imesha anguka uko Kibarani Mombasa, hii ni mara pili! Hii SGR ya Kenya ni hatari kwa afya ya binadamu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kuna vitu vyengine inabidi tuwaachie muamini muendelee kulala, utakuja shtuka huko mbeleni ukigundua kumbe umekua mkijidanganya hizi siku zote... kama ule msemo wa kimombo unavyosema... "let the sleeping dog lie:wachina watawaachia mzoga wakirudusha hela yao..
Kwikwikwi. Siku hizi mnashirikiana na socialist nations!?Kuna vitu vyengine inabidi tuwaachie muamini muendelee kulala, utakuja shtuka huko mbeleni ukigundua kumbe umekua mkijidanganya hizi siku zote... kama ule msemo wa kimombo unavyosema... "let the sleeping dog lie:
Speed and Standard