SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Treni imesha anguka uko Kibarani Mombasa, hii ni mara pili! Hii SGR ya Kenya ni hatari kwa afya ya binadamu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
halafu wanatulazimisha na sisi tujenge haraka haraka kama yao..!!yaani wachina wamewajengea sgr haraka haraka wamelipua lipua yaani bora liende tuu!!!na juzi hapa imetoka ripoti mmekula losi bil 10..kwa style hiyo!!hadi wachina warudishe hela zao hiyo treni mtaachiwa mzoga kudadeki!!!
 
Idiots leta hapa evidence ni sgr imeanguka, u wish wamama nyinyi
 
Treni imesha anguka uko Kibarani Mombasa, hii ni mara pili! Hii SGR ya Kenya ni hatari kwa afya ya binadamu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nilikua nataka niwaache muendelee kukaa kama wajinga..lakini wacha niwasaidie kidogo... hebu nionyeshe ni wapi treni ya SGR ishawahi anguka... huu ushamba mpunguze jameni
 
Kenya.
 
wachina watawaachia mzoga wakirudusha hela yao..
 
16% after a year,
100% itafika after 6yrs.
upload_2018-7-20_12-17-19.png
 
wachina watawaachia mzoga wakirudusha hela yao..
Kuna vitu vyengine inabidi tuwaachie muamini muendelee kulala, utakuja shtuka huko mbeleni ukigundua kumbe umekua mkijidanganya hizi siku zote... kama ule msemo wa kimombo unavyosema... "let the sleeping dog lie:
 
Kwikwikwi. Siku hizi mnashirikiana na socialist nations!?
 
Back
Top Bottom