Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hivi vipi kuhusu hizi ajira jaman maana wengine tupo huku kilosa tumefikia gesti lakni tunazungushwa tuu jaman hii nchi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sijaenda ndugu nipo huku kilosa tumeambiwa tuvute subira wanaanza kuchukua kwanza drivers was malori sisi was fani zingine tumepewa muda usiofahamika kusubiri kwanza..Ushajaribu kwenda Ihumwa ..nilisikia watu wanaenda pale kwa station master kwa kipande kinachotoka morogoro kwenda dodoma
Tunakushukuru kwa kufuatilia kila kitu kutoka kwetu sasa ndio uishauri serikali yenu iondoe hizo treni za makaa ya mawe na uhuni waliowafanyia warekebishe mapema watoe vile vi spoku wanavyodai ni nondo,tunakukabiribisha bongo ardhi ya kutosha sehemu nyingine haina mwenyewe na uone Sgr inavyoundwa kitaaalam bila ujanjaujanja wa mchina,na haipendezi kujifanya mnajua kumbe mbele giza,njooni mjifunze kwetu mtakachokiona mkaimalishe kwenu waswahili hatuna makuu wala roho kubwa ndio maana mnaona hatuna tabu.Hii wamerudia karibu kila kitu. Ilipostiwa wiki mbili iliyopita
Nchi zote za EAC zishakuja kujifunza TZ kwnye hii historical SGR inayotengezwa isipokuwa Kenya...”Arrogance” itampeleka kenya kubaya...atajikuta peke yake ana mgarimoshi east africa nzima
Wakarudi na ujuzi wa kuchora mistari! 😃Walienda kuangalia ya Bogota 🙂
Wakarudi na ujuzi wa kuchora mistari! 😃
So this justifies being overcharged? Uache upumbavu! CHINA COMMUNICATIONS CONSTRUCTION GROUP LTD can be big but that doesn't justify the cost.Kuna mtz flani hapo nyuma alitangaza kua hakuna kampuni inayojenga reli hapa Africa inauwezo wa kifedha au ujuzi kushinda yepi markezi
ENR’s 2018 Top 250 International Contractors
3 Rank
CHINA COMMUNICATIONS CONSTRUCTION GROUP LTD., Beijing, China†
.
.
.
.
.
.
.
82 Rank 2018
YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAYI AS, Istanbul, Turkey†
ENR’s 2018 Top 250 International Contractors 1-100
Wewe jamaa unapenda ranking kwelikweli. Ndiyo hiyo inawamalizaKuna mtz flani hapo nyuma alitangaza kua hakuna kampuni inayojenga reli hapa Africa inauwezo wa kifedha au ujuzi kushinda yepi markezi
ENR’s 2018 Top 250 International Contractors
3 Rank
CHINA COMMUNICATIONS CONSTRUCTION GROUP LTD., Beijing, China†
.
.
.
.
.
.
.
82 Rank 2018
YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAYI AS, Istanbul, Turkey†
ENR’s 2018 Top 250 International Contractors 1-100
Ranking halafu wamepewa garimoshi!Wewe jamaa unapenda ranking kwelikweli. Ndiyo hiyo inawamaliza