SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Ushajaribu kwenda Ihumwa ..nilisikia watu wanaenda pale kwa station master kwa kipande kinachotoka morogoro kwenda dodoma
Hapana sijaenda ndugu nipo huku kilosa tumeambiwa tuvute subira wanaanza kuchukua kwanza drivers was malori sisi was fani zingine tumepewa muda usiofahamika kusubiri kwanza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi zote za EAC zishakuja kujifunza TZ kwnye hii historical SGR inayotengezwa isipokuwa Kenya...”Arrogance” itampeleka kenya kubaya...atajikuta peke yake ana mgarimoshi east africa nzima
 
Hii wamerudia karibu kila kitu. Ilipostiwa wiki mbili iliyopita
Tunakushukuru kwa kufuatilia kila kitu kutoka kwetu sasa ndio uishauri serikali yenu iondoe hizo treni za makaa ya mawe na uhuni waliowafanyia warekebishe mapema watoe vile vi spoku wanavyodai ni nondo,tunakukabiribisha bongo ardhi ya kutosha sehemu nyingine haina mwenyewe na uone Sgr inavyoundwa kitaaalam bila ujanjaujanja wa mchina,na haipendezi kujifanya mnajua kumbe mbele giza,njooni mjifunze kwetu mtakachokiona mkaimalishe kwenu waswahili hatuna makuu wala roho kubwa ndio maana mnaona hatuna tabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi zote za EAC zishakuja kujifunza TZ kwnye hii historical SGR inayotengezwa isipokuwa Kenya...”Arrogance” itampeleka kenya kubaya...atajikuta peke yake ana mgarimoshi east africa nzima

Walienda kuangalia ya Bogota 🙂
 
Kuna mtz flani hapo nyuma alitangaza kua hakuna kampuni inayojenga reli hapa Africa inauwezo wa kifedha au ujuzi kushinda yepi markezi

ENR’s 2018 Top 250 International Contractors

3 Rank
CHINA COMMUNICATIONS CONSTRUCTION GROUP LTD., Beijing, China†
.
.
.
.
.
.
.
82 Rank 2018
YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAYI AS, Istanbul, Turkey†

ENR’s 2018 Top 250 International Contractors 1-100
 
So this justifies being overcharged? Uache upumbavu! CHINA COMMUNICATIONS CONSTRUCTION GROUP LTD can be big but that doesn't justify the cost.
 
Kuna mtz flani hapo nyuma alitangaza kua hakuna kampuni inayojenga reli hapa Africa inauwezo wa kifedha au ujuzi kushinda yepi markezi

ENR’s 2018 Top 250 International Contractors

3 Rank
CHINA COMMUNICATIONS CONSTRUCTION GROUP LTD., Beijing, China†
.
.
.
.
.
.
.
82 Rank 2018
YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAYI AS, Istanbul, Turkey†

ENR’s 2018 Top 250 International Contractors 1-100
Wewe jamaa unapenda ranking kwelikweli. Ndiyo hiyo inawamaliza
 
Hongera. Atleast hii ndio picha ya kwanza ya maana ya hii sgr. Hii picha sasa inaonyesha mambo mazuri. Mumepiga makelele sana bila kuweka picha ya maendeleo, sasa hii picha inaanza kuonyesha dalili lakini kwa umbali.
 
Back
Top Bottom