Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
- #1,241
wapumbavu wanaobwabwaja wapo wengi sana humu ndaniNguzo zimeanza wekwa juzi hapa bhana, miezi minne bado haijafika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapumbavu wanaobwabwaja wapo wengi sana humu ndaniNguzo zimeanza wekwa juzi hapa bhana, miezi minne bado haijafika
Asa zile zenu si mnapachika cherewa
Nguzo zimeanza wekwa juzi hapa bhana, miezi minne bado haijafika
Hatuwezi kuwa wababaishaji kama majirani zetu ktk sgr yao miezi mitatu nguzo zote zimeisha,kumbuka sisi huku tunatumia nondo zilizosukwa vzr sio spoku kama majirani.Ebu ongezeni speed bana nguzo 46 kati ya 102 yaani ata nusu bado miezi minne sasa.

Contrary to most modern railway lines which use diesel trains, the Tanzanian railway line will be electrified.
Hahaa.. me nimesoma best in Africa, jana nilimsikia M7 akiongelea SGR naona anataka kutumia style ya Magu amechoka na sarakasi za Nairobi na BeijingNani amesoma hapo?
Kasemaje?Hahaa.. me nimesoma best in Africa, jana nilimsikia M7 akiongelea SGR naona anataka kutumia style ya Magu amechoka na sarakasi za Nairobi na Beijing
With or with out chinies SGR must be builtKasemaje?
EMU very soon to be seen in Tanzania😂😂
Very soon. We are ordering 5 of themWhen will they announce the supplier?
Ya wachina Yana uzito gani?Taruma moja la zege linauzito wa 380 kg
No ideaYa wachina Yana uzito gani?
Nimetafuta details sipatiNo idea
Watakwambia ni class1.😂😂😂Nimetafuta details sipati
Kama nondo zimeisha mbona reli bado inatumika?Hatuwezi kuwa wababaishaji kama majirani zetu ktk sgr yao miezi mitatu nguzo zote zimeisha,kumbuka sisi huku tunatumia nondo zilizosukwa vzr sio spoku kama majirani.