BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo cheap politics ndiyo zimembadili M7 kupitisha pipeline Tz na kuwekeza kufufua port bell huku aki isubiria SGR yetu kwa hamu na kuto ji commit kwenye old SGR yenu. Kagame ku opt central corridor. Wawekezaji kukimbilia Tz zaidi ya Ke ingawa sera zetu za uwekezaji zinawabana, Uchumi wa Tz kukua zaidi ya Ke nakua most inclusive in Africa, Chaguzi za amani bila ukabila e.t.cHadi kutandaza reli ni uzinduzi?
Cheap politics
Basi basi brother inatosha.. inatoshaHizo cheap politics ndiyo zimembadili M7 kupitisha pipeline Tz na kuwekeza kufufua port bell huku aki isubiria SGR yetu kwa hamu na kuto ji commit kwenye old SGR yenu. Kagame ku opt central corridor. Wawekezaji kukimbilia Tz zaidi ya Ke ingawa sera zetu za uwekezaji zinawabana, Uchumi wa Tz kukua zaidi ya Ke nakua most inclusive in Africa, Chaguzi za amani bila ukabila e.t.c
Sasa tuambie hizo expensive politics zenu zimewaletea nini zaidi ya ukabila mpaka kuchinjana, madeni ya ovyo ovyo, maisha magumu, unemployment rate inayo ongoza duniani, ufisadi uliotukuka, budget kuishia kwenye mishahara, kuwa isolated na majirani zenu, kuzalauliwa mpaka kutukanwa kwamba raisi wenu ni nyani! e.t.c
Hizo cheap politics ndiyo zimembadili M7 kupitisha pipeline Tz na kuwekeza kufufua port bell huku aki isubiria SGR yetu kwa hamu na kuto ji commit kwenye old SGR yenu. Kagame ku opt central corridor. Wawekezaji kukimbilia Tz zaidi ya Ke ingawa sera zetu za uwekezaji zinawabana, Uchumi wa Tz kukua zaidi ya Ke nakua most inclusive in Africa, Chaguzi za amani bila ukabila e.t.c
Sasa tuambie hizo expensive politics zenu zimewaletea nini zaidi ya ukabila mpaka kuchinjana, madeni ya ovyo ovyo, maisha magumu, unemployment rate inayo ongoza duniani, ufisadi uliotukuka, budget kuishia kwenye mishahara, kuwa isolated na majirani zenu, kuzalauliwa mpaka kutukanwa kwamba raisi wenu ni nyani! e.t.c
Huku atakimbia sana sehemu kubwa ni Tambarare na pia hakuna maeneo mengi korofi ukiacha Kilosa.
tuwekee hapaGeza September progress report imetoka. Pitia YouTube