SGR Construction in Tanzania - UPDATES

SGR Construction in Tanzania - UPDATES

Kwann unasema hivyo?
Angelijua Waziri mkuu ni mkali zaidi kuliko hata Raisi asingeyasema hayo. Wafanyakazi wizarani wana muogopa Kassim kuliko hata Magufuli. Jamaa ni mtu wa action. Yeye anafukuza hapo hapo. Ingieni YouTube fatilia video zake anapozulu kwenye alimashauri.
Kitengo cha lamba lamba chakudili na wabadilifu wa mali za huma anakiongoza yeye. Kinavijana mafia makazi yao yapo Dodoma. Wakitua sehemu mtu habaki salama akisha watuma.
 
Safi Aongeze nguvu
 
huyu naye hana kitu basi tu
Naomba kutofautiana na wewe. Mimi naona anazo sifa zote bora za kiongozi. Ni mfatiliaji wa mambo mzuri. Ni mzungumzaji mzuri sana na kulingana na mazingira anayozungumza. Mimi naona anafaa kumrithi Dr. Magufuli akimaliza kipindi chake kwa kuwa anao uwezo wa kuendeleza miradi na mipango iliyoianzishwa au itakayoanzishwa na serikali ya sasa.
 
Nimepita leo pale NSSF waterfront nimeona kama ujenzi wa kituo umeanza. Site clearance is ongoing. Can't wait!
 
Wakuu niajee...?...jamani sio siri kwa upande wa ujenzi wa train station inabidi baadhi ya vituo kuna mambo yafanyike...

Kwa upande wa hii station ya dar es salaam mchoro upo bomba sana ni wakinyawezi zaidi ila hizi stations mbili pugu na moro....dah naona kama hazijakaa muonekano bomba kwa kuwa yapugu ishaanza inabidi hii ya moro tudizain mchoro mwingine wakisasa zaidi ukizingatia moro ni miongoni mwa mikoa maarufu hapa tz ...na ni mkoa wenye tija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mike kituo ni kizuri subiri kijengwe ndio utaona
 
Mkuu kile kituo cha Soga kiko safi.. ngoja kifanyiwe finishing utakiona. Nasikia kwa nje wataweka material fulani ya siyo pauka ambayo Bongo bado hayajawai tumika. Ile ni contempo design, ndiyo mambo ya kisasa. Sitegemei Soga kama kutakua na wasafiri wengi so kitatosha vizuri.

Hapo,poa ngoja tuone mchakamchaka utakavyokuwa ,halafu kama una render ya soga station itupie ,,maana render yake sijawahi kuiona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naona tumeacha kupeana update huku. Naoana geza ulole umehamia kule kwenye comparison kenya sgr na tz. Hebu na huku utupe update kaka.
 
May 2019

Screenshot_2019-06-15 DSM May 2019 Progress Video; Standard Gauge Railway Line From Dar Es Sal...png
Screenshot_2019-06-15 DSM May 2019 Progress Video; Standard Gauge Railway Line From Dar Es Sal...jpg

Yapi Merkezi
 
Tabora - Isaka ni karibu mno. Labda unamaanisha Tabora-Mwanza. Yaani ikifika Dodoma tu, huko mbele ni mteremko hakuna milima mingi. Sehemu kubwa ipo flat.
Central plateau!
 
Back
Top Bottom