huyu naye hana kitu basi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann unasema hivyo?huyu naye hana kitu basi tu
Angelijua Waziri mkuu ni mkali zaidi kuliko hata Raisi asingeyasema hayo. Wafanyakazi wizarani wana muogopa Kassim kuliko hata Magufuli. Jamaa ni mtu wa action. Yeye anafukuza hapo hapo. Ingieni YouTube fatilia video zake anapozulu kwenye alimashauri.Kwann unasema hivyo?
Safi Aongeze nguvuAngelijua Waziri mkuu ni mkali zaidi kuliko hata Raisi asingeyasema hayo. Wafanyakazi wizarani wana muogopa Kassim kuliko hata Magufuli. Jamaa ni mtu wa action. Yeye anafukuza hapo hapo. Ingieni YouTube fatilia video zake anapozulu kwenye alimashauri.
Kitengo cha lamba lamba chakudili na wabadilifu wa mali za huma anakiongoza yeye. Kinavijana mafia makazi yao yapo Dodoma. Wakitua sehemu mtu habaki salama akisha watuma.
Naomba kutofautiana na wewe. Mimi naona anazo sifa zote bora za kiongozi. Ni mfatiliaji wa mambo mzuri. Ni mzungumzaji mzuri sana na kulingana na mazingira anayozungumza. Mimi naona anafaa kumrithi Dr. Magufuli akimaliza kipindi chake kwa kuwa anao uwezo wa kuendeleza miradi na mipango iliyoianzishwa au itakayoanzishwa na serikali ya sasa.huyu naye hana kitu basi tu
Yuko vizuriSafi Aongeze nguvu
Mike kituo ni kizuri subiri kijengwe ndio utaonaWakuu niajee...?...jamani sio siri kwa upande wa ujenzi wa train station inabidi baadhi ya vituo kuna mambo yafanyike...
Kwa upande wa hii station ya dar es salaam mchoro upo bomba sana ni wakinyawezi zaidi ila hizi stations mbili pugu na moro....dah naona kama hazijakaa muonekano bomba kwa kuwa yapugu ishaanza inabidi hii ya moro tudizain mchoro mwingine wakisasa zaidi ukizingatia moro ni miongoni mwa mikoa maarufu hapa tz ...na ni mkoa wenye tija
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kile kituo cha Soga kiko safi.. ngoja kifanyiwe finishing utakiona. Nasikia kwa nje wataweka material fulani ya siyo pauka ambayo Bongo bado hayajawai tumika. Ile ni contempo design, ndiyo mambo ya kisasa. Sitegemei Soga kama kutakua na wasafiri wengi so kitatosha vizuri.Wakuu niajee...?...jamani sio siri kwa upande wa ujenzi wa train station inabidi baadhi ya vituo kuna mambo yafanyike...
Kwa upande wa hii station ya dar es salaam mchoro upo bomba sana ni wakinyawezi zaidi ila hizi stations mbili pugu na moro....dah naona kama hazijakaa muonekano bomba kwa kuwa yapugu ishaanza inabidi hii ya moro tudizain mchoro mwingine wakisasa zaidi ukizingatia moro ni miongoni mwa mikoa maarufu hapa tz ...na ni mkoa wenye tija
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo,poa ngoja tuone mchakamchaka utakavyokuwa ,halafu kama una render ya soga station itupie ,,maana render yake sijawahi kuionaMkuu kile kituo cha Soga kiko safi.. ngoja kifanyiwe finishing utakiona. Nasikia kwa nje wataweka material fulani ya siyo pauka ambayo Bongo bado hayajawai tumika. Ile ni contempo design, ndiyo mambo ya kisasa. Sitegemei Soga kama kutakua na wasafiri wengi so kitatosha vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa sana ngoja tusikilizie...Mike kituo ni kizuri subiri kijengwe ndio utaona
May 2019Jamani naona tumeacha kupeana update huku. Naoana geza ulole umehamia kule kwenye comparison kenya sgr na tz. Hebu na huku utupe update kaka.
Central plateau!Tabora - Isaka ni karibu mno. Labda unamaanisha Tabora-Mwanza. Yaani ikifika Dodoma tu, huko mbele ni mteremko hakuna milima mingi. Sehemu kubwa ipo flat.