Sgr Dar to Moro

Wakuu nataka kwenda moro kwa Sgr, je utaratibu ukoje,ticket naweza kwenda katia palepale asubui au
Ndio bus gani hilo mkuu??
Ebu nenda kwa maajenti ndio watakupa majibu sahihi, pia naona hilo ni bus jipya Dar
 
Wakuu nataka kwenda moro kwa Sgr, je utaratibu ukoje,ticket naweza kwenda katia palepale asubui au
Kwanza fahamu ya kwamba una option mbili,uwende pale pale au ukate mwenyewe kupitia mtandao(www.sgrtiketi.trc.co.tz).

Ingawa for my opinion ni bora ukate kupitia mtamdao ili kuepuka ulaghai na usumbufu uliopo pale station.

Jambo lingine ukikata pale station itakulazimu ufike masaa mawili kabla ya safari😆wakati ukiwa tayr unatiketi unaweza kuingia nusu saa kabla au hata dk kumi kabla ya safari.
 
Nilikua na safari ya Morogoro ya haraka leo hii, jana saa nne asubuhi tiketi zote online zimeisha mpaka kesho Jumatatu, nadhani Abood angeze tu mabasi.
 
Shida kama ni alfajiri....khaaa kwenda town kutoka kibamba kibaha ndio shidaaaaa
 
Ya asubuhi kupata tiketi pale ni ngumu mno
 
Tatizo la Bus masaa matano Dar moro
Treni ni usafiri wa haraka na uhakika, ila muda huu huwezi kupata nafasi ila ukienda Magufuli stand unapata gari na uhakika wa safari, ingawa utachelewa lakini utafika siku husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…